42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,833
- 8,853
Swali la kitoto.Kwani hao waliokuja ilikuwa ni five star?
Kama hujui Back ground ya Hotel ilikuwaje kaa kimya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali la kitoto.Kwani hao waliokuja ilikuwa ni five star?
Hata ubakaji unaweza kuwepo. Kuna vijana wa ovyo sana. Mwanamke mgeni akiwachekea kidogo basi wanajua wameisha pata tiketi ya kwenda ulaya. Hawajui wengine wanafanya hivyo kwa kuhofia kuonekana wabaguzi.
Amandla...
Mkuu, kwa kiasi nafuatilia ili saga inaonekana ni arranged script hii.
Wadangaji nao ni wateja, the trick ni kuwagundua na kuhakikisha wafanyakazi wako officially hawatoi huduma yoyote ambayo ni illegal na kama wakitoa hio inakuwa ni baina ya mtu na mtu na sio hoteli, vilevile chochote kikitokea ni kutoa ushirikiano fully na vyombo vya sheria...demu mdangaji tuu yule
Unajua kwamba kivutio kikubwa kwa Caribbean, na baadhi ya nchi za Africa kama Gambia Beach Boys ndio kivutio cha Watalii ?Wale ma beach boyz ni watu wa ovyo sana, Ningeshauri kabisa wawe banned, Na hata wafanykazi wa mahoteli wanatakiwa wawe na nidhamu nzuri, Tatizo kubwa linalowatesa vijana wa ki TZ ni kupenda mteremko wengi hapo kwenye hisabu ya kubebwa na wadada wa kizungu tu.
very true, Gambia unaambiwa wale beach ni wataalam sana kusugua machine za Wazungu, Waholland wanawa-mind sana. Akisuguliwa mwezi mzima huna hamu ya dickUnajua kwamba kivutio kikubwa kwa Caribbean, na baadhi ya nchi za Africa kama Gambia Beach Boys ndio kivutio cha Watalii ?
Unajua kwamba kivutio kikubwa kwa Caribbean, na baadhi ya nchi za Africa kama Gambia Beach Boys ndio kivutio cha Watalii ?
Hotel imeajirikampuni ya ulinzi lakini final responsibility ya usalama wa wateja iko mikononi mwa mwenye hotel in case of anything sababu mteja hana contract na kampuni ya ulinzi ya nje ana contract na hotel tuKwa Mujibi wa maelezo huyo mlinzi sio Mlinzi wa hoteli hiyo
Hakuna kusimama na mzembe mzanzibari choko mwenye hoteli mmoja abebe mzigo wake mpuuzi mkubwa huyo mnigeria yuko sahihiThe issue has to be solved and talked on the priority of favoring the image of tz tourism as whole
Shida yetu ni kwamba tuko hapa kuoneshana umwamba Nani anaijua Sheria,bila kuangalia kwamba we should stand together as nation to criticize and condemn vitendo vyote vya kukwamisha taifa
Hata kama ni kweli,..we are Tanzania she is Nigerian,
Cha muhimu ni kukomaa Zainabu aonekane ni muongo,scammer na danga sababu dunia nzima inatambua who are Nigerians,it won't cost us too much efforts clear this for our good
Why can't we stand like Kenyans who always stand first against any threats to their country
.......Let's stand together against Zainabu and her crew
Hajabakwa. Ni mwizi tu kama wezi wengine. Ndio maana alitaka alipwe doll elfu 10. Hajalipwa anaanza kuongea ushuziNigerian wengi ni scammer, ila siungi mkono ubakaji,
Mabeach boys wamejaa kule na wengine wanasubiri wamama ni kama wanajiuza tuu
Wapigwe marufuku kuingia nnchiniMbakaji anaaga anafuata condom atarudi?? Pia kulala mlango wazi inatia shaka
Broh!kwani mlinzi Hana hakj ya kupenda na kupendwa?alikuwa off duty na walikubaliana kuwa na faragha baada ya kazi hakunA baya hapo,Hakuna kusimama na mzembe mzanzibari choko mwenye hoteli mmoja abebe mzigo wake mpuuzi mkubwa huyo mnigeria yuko sahihi
Mlinzi kakiri alienda chumbani kwake
Kazi ya Mlinzi sio kwenda vyumba vya wateja usiku kwa kutafuta ngono
Hilo hotel kila mtanzania popote alipo alitangazie sifa mbaya kuwa baya watu wasifikie hapo ni la wahuni
According to twitter spy alibook kukaa siku 6 pale hotelini ila asubuh alipodaiwa hela akatoa card isiyokua na hela haha baadae ikarudishwa na kuambiwa hamna hela a kasema wasiwe nawasiwasi kuna sehemu nyingine hela itahamishwa,siku hiyo akaitumia kula bata tu na watu aliokua nao ni walinzi wa hotelin hatarii haha
AiseeNa ni kosa pia maana wanajipigia pigia tu. Huko kwao huwezi fanya hivyo bila ruhusa maalum