Warioba: Hotuba zetu kwa wananchi hazikidhi.Tuwasikilize kwanza wananchi

KA muuulizeni, yeye alipokiwa wazirii mkuu alikuwa anatekereza hicho anachokiongea???
Hata ungekuwa ni wewe usingeweza maana waziri mkuu uko chini ya huna maamzi, lakini pia kumbuka yeye akiwa waziri mkuu Tanzania hii ilikuwaje na leo ikoje fikiria Mara mbili kabla hujamkosoa
Ila huyu mzee daah, kabaki mwenyewe yaani.

Mkuu naweza pata hata cv yake nijifunze kitu, Kama unayo nidodoshee pm mkuu
Mzee Warioba.

Sema baba, hata kama watajitokeza akina Bashite wengine watakaopandia ngazi kwa kukunyanyasa wewe, sauti ya wananchi iliyobaki sasa.
Namtetea huyu Mzee, hicho alichosema ndicho alikuwa anafanya akiwa PM, na wengi walimpenda sana kwa approach yake hiyo, narudiakusema hapa

Namkumbuka Warioba, alifanya hivyo mwaka 1988 majira ya joto na mvua alipotembelea wilaya ya Njombe, alikaa jukwaani akawaita wananchi wote wenye kero wajitokeze awasikilize, asilimia kubwa ya kero alizimalizia hapohapo, chache aliondoka nazo kwenda kwa Rais Mwinyi Senio
 
Tulishawahi kuwa na kiongozi asiyependa kusikiliza,alipenda kusikilizwa tu na maswali kwake yalikua ni mwiko.
Bora hata yule!

Siku hizi unaona hata watu wanajiunganishia tu mabomba ya mafuta na wanaachwa wanapeta tu
 
Katika wazee wanaozeeka vizuri na pamoja na mzee Warioba. Amesema kweli tupu
 
Uongozi hauna fomula kama quadratic equations bali zina approach tofauti tofauti ujue.
 
Hv huyu c ndiyo alitandikwa vibao na mtoto wa kwanza wa baba
 
Uongozi hauna fomula kama quadratic equations bali zina approach tofauti tofauti ujue.
Hatujakataa na wala yeye hajasema lazima, ila ameona approach moja ina dominate zaidi na kutowapa wananchi kusema yao
 
Huyu babu nilimsikiliza jana, asee babu ni hazina kubwa sn kwa taifa siyo muoga anaongea point sn.
 
Ungemsikiliza Mzee Warioba ungejua kuwa wewe unaongea utumbo tu hapo. Yaani Wananchi wapo, badala kuwezesha uhuru ili wakuambie yao wao wenyewe, wewe unaona bora wapigwe plaster midomoni ili uwasikilize wambea uliowatuma. Incidentally, ni wale wambea wanaojua wewe unapenda kuambiwa nini?! Tupishe huko.
 
Huyu babu ni hazina kubwa sn ya taifa anaongea point tupu haangalii chama tawala wala upinzani yeye ananyoosha katikati
 
Upo sahihi kabisa mkuu
 
Intelijensia ambayo ilikuwa comprised, na yy mwenyewe kwakuwa alikuwa akiwaamini hao wahuni basi mambo yakawa c mambo
 
Mzee Warioba kaupiga mwingi

John Malecela
Cleopa Msuya
Frederick Sumaye
Edward Lowassa
Mizengo Pinda
Kassim Majaliwa

Hakuna cha kusema uzee sana wala ujana. Labda kama wana maslahi na katiba iliyopo kwa kipindi hiki na kijacho. Lakini wanatakiwa waoneshe misamamo yao kama Mzee Warioba.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Mikutano ya kichaa ilikuwa staged,ataweka muuza mahindi fake na wauliza maswali ni makada walioandaliwa kwa maswali anayoyataka,wake up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…