Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
KA muuulizeni, yeye alipokiwa wazirii mkuu alikuwa anatekereza hicho anachokiongea???
Hata ungekuwa ni wewe usingeweza maana waziri mkuu uko chini ya huna maamzi, lakini pia kumbuka yeye akiwa waziri mkuu Tanzania hii ilikuwaje na leo ikoje fikiria Mara mbili kabla hujamkosoa
Ila huyu mzee daah, kabaki mwenyewe yaani.
Mkuu naweza pata hata cv yake nijifunze kitu, Kama unayo nidodoshee pm mkuu
Mzee Warioba.
Sema baba, hata kama watajitokeza akina Bashite wengine watakaopandia ngazi kwa kukunyanyasa wewe, sauti ya wananchi iliyobaki sasa.
Namtetea huyu Mzee, hicho alichosema ndicho alikuwa anafanya akiwa PM, na wengi walimpenda sana kwa approach yake hiyo, narudiakusema hapaKwa bahati nzuri alikuwa na intelijensia makini ambayo ilitangulia na kumpa taarifa za matatizo ya pale kabla hajafika, hivyo kazi yake ilikuwa kutoa majibu tu. Hivi unafikiri msomi anaweza kuwa data collector au ni analyst na mwisho anatoa recommendations.
Namkumbuka Warioba, alifanya hivyo mwaka 1988 majira ya joto na mvua alipotembelea wilaya ya Njombe, alikaa jukwaani akawaita wananchi wote wenye kero wajitokeze awasikilize, asilimia kubwa ya kero alizimalizia hapohapo, chache aliondoka nazo kwenda kwa Rais Mwinyi Senio