Warioba ndiye mzee wa kweli aliyebaki.Mama Samia kachaguliwa na tume fake kuwa raisi fake wa Tanzania bila kupata kibali cha Watanzania. Hivyo msishangae Watanzania kumkataa . Watetezi wake ambao hawewezi kubisha hoja hii watabakia kuwa machawa lakini kizuri Watanzania wamegoma