Mama Samia kachaguliwa na tume fake kuwa raisi fake wa Tanzania bila kupata kibali cha Watanzania. Hivyo msishangae Watanzania kumkataa . Watetezi wake ambao hawewezi kubisha hoja hii watabakia kuwa machawa lakini kizuri Watanzania wamegoma

Juzi nilipita harmashauri X nikakuta wanatoa masunduku ya uchaguzi na makaratasi mengi yapo nje ya box.Cha kuchekesha ila Tume ya uchaguzi ilisema samia kashinda asilimia 97 halmashauri hii mpaka na wabunge na madiwani.
Wakati hakukuwa na hesabu.