PostGE2025 WARNING:⚠️Namna Serikali inavyowakamata Wanaotuma picha Za Mauaji Mtandaoni: Na jinsi unaweza kujilinda

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

lost files

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2025
Posts
1,146
Reaction score
3,425
Bila Salamu.,

Nilitaka kuandika hili kama comment katika Uzi Fulani days ago but sikufanya hivyo Sababu niliogopa kwamba kwa kufanya hivyo nitaogopesha watu wanaotuma picha na videos,pili niliogopa kua kama Serikali haifanyi nilichofikiria basi nitakachosema ndio kitawapa mbinu na nini Cha kufanya Kukamata Watu...

So why nimeandika Leo??

Jana nimeangalia caption ya mange kuhusu maiti za mwananyamala alisema kua- "Alie tuma video kaniambia alikua na SIMU mbili Moja maaskari walichukua katika kukagua simu za watu,alio wapa haikua na kitu" Swali,Mange security measure gani anachukua kulinda whistle blowers??ana washauri wa masuala ya intelligence kwenye eneo la tehama..??

TECHNOLOGY ILIVYO:

Ukipiga picha au kurekodi video na simu yako Kuna kitu kinaitwa
META DATA (EXIF DATA) picha au video inabeba taarifa zinazoitwa META DATA, taarifa hizo zinabeba,

*Aina ya simu unayotumia
*Muda ambao picha imepigwa
*GPS location
*software iliyo edit picha
*Camera na serial number..
*Map directions

Kupitia taarifa hizi Wana usalama wanaweza kujua ni Nani alipiga picha hii(sio kushare) simu yake,alipo na picha ngapi ameshare...

Ili uwe salama Kabla hujatuma picha hizo au videos kwanza Remove EXIF DATA kwenye picha au video,HOW??apps zipo free Tena offline,mtandao wa telegram wenyewe una remove automatic..

Njia rahisi ambayo mimi Huwa nafanya,ukishapiga picha..kabla ya kuituma kwanza screenshot,then crop(meta data zinaondoka) then share it unakua safe...

Unafikiri(nafikiri) Polepole alikamatwa vipi??walijuaje location yake??alichomwa na walinzi wake??No aliponzwa na video background kupitia michezo hii ya Meta Data,Watu wakajua alipo(theory)

STAY SAFE..
 
Kukandamiza ukweli ni kitu kigumu sana.
 
Meta data anapata original sender tu kwa receiver kupitia njia ambazo hazi encode hizo data na kuzi encrypt. Mfano nikutuma hio picha bila ya kupoteza property zake mfano via bluetooth, share file, infrafred etc. nikukutumia data kama picha au video via whatsapp haiji na propeterties zake ndo maana inapungua quality na jina linaanza na WA...
 
Umeeleza vizuri.
Je, tuna wataalamu wa kufanya hiyo kazi?hakuna
Picha ngapi zinazunguka mitandaoni?
Jamiiforums, ukipost picha META DATA inakuwa extracted automatic, the same na whatsapp na hata instagram. Kuna namna kama i ushahidi wa kidijitali ukitaka kutuma kuna namna ya kufanya ili kutunza hizo taarifa. Kuchukua picha kwenye mitandao nilio taja na kwenda kupata hizo taarifa ni ngumu. Na hata ukituma kwa email kwa asie fahamu pia anazipoteza hizo taarifa
 
Kwa mtandao kwa Instagram, whatsapp hata JF wana extract hizo META DATA na hata telegram unless utume kama file. Hata wakipata picha au video hazisomi hizo taarifa.
JF Hawa extract META DATA zinakua uchi kama zilivyo, Whatsapp Wana zi strip lakini wanabaki nazo wao,if you trust Whatsapp na data zako kila la kheri
 
Back
Top Bottom