PostGE2025 WARNING:⚠️Namna Serikali inavyowakamata Wanaotuma picha Za Mauaji Mtandaoni: Na jinsi unaweza kujilinda

PostGE2025 WARNING:⚠️Namna Serikali inavyowakamata Wanaotuma picha Za Mauaji Mtandaoni: Na jinsi unaweza kujilinda

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Umeeleza vizuri.
Je, tuna wataalamu wa kufanya hiyo kazi?hakuna
Picha ngapi zinazunguka mitandaoni?
Mkuu ni rahisi sana hata Mimi naweza fanya hii kazi.

Ili uwe salama fanya hivi:-

  • Tumia programu za kuondoa EXIF data kabla ya kushiriki picha (mfano: ExifTool, ImageOptim)
  • Zima GPS tagging kwenye kamera ya simu yako
  • Tumia apps zinazohifadhi picha bila metadata, au zinazokuruhusu kuhariri/kuondoa taarifa hizo
  • Epuka kushiriki picha za tukio nyeti moja kwa moja kutoka kwenye kifaa chako
 
Si kila metadata inatosha kumtambua mtu moja kwa moja. Mfano, kujua tu aina ya simu hakusemi ni nani aliyeipiga picha. Uchunguzi zaidi unahitajika.

Metadata ni taarifa za kifaa, sio za mtu binafsi:

Ikiwa picha imechukuliwa kwa simu ya Samsung A05, taarifa ya metadata itasema tu "Samsung A05."
Lakini kuna maelfu ya watumiaji wa simu hiyo katika eneo moja.

Hivyo, taarifa hiyo pekee haiwezi kumfanya mdukuzi ajue ni nani hasa alichukua picha.
 
Inategemea na tools ambayo ina extract hizo info, kama sehemu ya hatua ya kwanza katika kubaini muhusika na kuna vitu kadha wa kadha vinavyotumika kuunganisha dots ( combination ) hadi kumtia muhusika nyavuni. Kwa kuanzia hiyo taarifa, sio kazi rahisi sana katika ku combine hizo means hati kumtambua na wakati mwingine kuna trial and error

binti kiziwi haha! Nakuona mkuu unapita kimya kimya pasipo weka neno
 
Hizi picha na video zitatumika kwenye ushahidi. Ukisha-edit kwa namna yoyote haitakubalika. Sema hivi: Njia sahihi ni kutuma na kumwambia aweke original na ku-edite zile anazoweka kwenye social media. Au wewe umetumwa kuposha watu? Au ni mtu mwenye nia nzuri tu ya kuepusha wasamaria wema?
Ni mtu mwenye nia nzuri.

Kama amekosea au kuna mahali hajafikia wadau waongeze maarifa.
 
Inategemea na tools ambayo ina extract hizo info, kama sehemu ya hatua ya kwanza katika kubaini muhusika na kuna vitu kadha wa kadha vinavyotumika kuunganisha dots ( combination ) hadi kumtia muhusika nyavuni. Kwa kuanzia hiyo taarifa, sio kazi rahisi sana katika ku combine hizo means hati kumtambua na wakati mwingine kuna trie and error

binti kiziwi haha! Nakuona mkuu unapita kimya kimya pasipo weka neno
Haya mambo mi mgeni ndugu, with elimu ya hapa na pale 😅
 
Hizi picha na video zitatumika kwenye ushahidi. Ukisha-edit kwa namna yoyote haitakubalika. Sema hivi: Njia sahihi ni kutuma na kumwambia aweke original na ku-edite zile anazoweka kwenye social media. Au wewe umetumwa kuposha watu? Au ni mtu mwenye nia nzuri tu ya kuepusha wasamaria wema?
Kwenye hili swala la kitaifa kuna expert mbali mbali wamejitolea kutunza ushahidi pasipo kuathiri ushahidi wenyewe. Serikali haina pa kuchomokea kwenye hili walisha fail kitambo sana kuharibu evidence
 
Haya mambo mi mgeni ndugu, with elimu ya hapa na pale 😅
Utawa dhalimu umeisha yatimba, tuliotuma picha, video ni wengi sana kama kutuuwa huenda wakafikisha ma million ya watu na kama kutufunga magereza yatajaa hadi kumwagika. Mwisho wa siku wataalamu wao wa Digital Forensics ni tia maji tia maji, kuna kazi huwa wana outsource nje na kuna wengine ma RCO wao huwa wanatupa kazi ya kuwafundisha vijana wao, jamaa ni weupe hacker wenyewe wamechukua wa mkopo
 
Kwenye ule uzi wa selfika, Kuna rafiki yangu huyu… tulichitchat usiku wa manane nadhani mlikuwa wana uzi mmelala. Alieleza kuwa security ya JF inaondoa Metadata automatically.

Binafsi sikuwa najua hayo aliyokuwa ananieleza.
Protection ya Data na privacy Jamiiforums wapo vizuri, mtu wa jf ukiona ameshikwa ujue kajiuza mwenywe huko PM kwa gear ya mapenzi au ahadi za kazi hadi mtu anajaa kwenye 18, ila nje ya hapo ni ngumu.
 
Kwa matumizi ya baadae na pia kulinda ushahidi, usitoe Metadata kama una piga picture / video za kurekodi matukio yatakayohitaji verification. Picha au video ikiwa kwenye simu yako haina shida, ukituma kwenye social media huwa inaziondoa hizo data so don't worry sana.
 
Kwenye ule uzi wa selfika, Kuna rafiki yangu huyu… tulichitchat usiku wa manane nadhani mlikuwa wana uzi mmelala. Alieleza kuwa security ya JF inaondoa Metadata automatically.

Binafsi sikuwa najua hayo aliyokuwa ananieleza.
Nakusalimia toka "selfika Hadi kwa wallpaper ya simu yako"

U hali gani?
😅
 
Unafikiri(nafikiri) Polepole alikamatwa vipi??walijuaje location yake??alichomwa na walinzi wake??No aliponzwa na video background kupitia michezo hii ya Meta Data,Watu wakajua alipo(theory)
Kwa hivyo walinzi wa Polepole walitoweka kabla ya kukamatwa siku ya tukio walijua metadata y a video za boss wao zimeshachukukiwa na watekaji?
BTW, kuhusu faili la video au picha kutunza metadata upo sahihi.
 
Back
Top Bottom