lost files
JF-Expert Member
- Apr 17, 2025
- 1,146
- 3,425
- Thread starter
- #21
Hapana sijui ndio Nini??App ya Android??sisi tuliosoma Cyber security hatuifahamu hiyoMimi situmii simu unafahamu KaliLinux kwanza
Hapana sijui ndio Nini??App ya Android??sisi tuliosoma Cyber security hatuifahamu hiyoMimi situmii simu unafahamu KaliLinux kwanza
Mkuu nimejaribu picha kadhaa za JF kufanya hicho kitu. Naongea kitu nachokijua au nipige picha nikuwekee hapa unipe details za kwenye hiyo picha ? Tusije kuwa tunaongea tu theoryJF Hawa extract META DATA zinakua uchi kama zilivyo, Whatsapp Wana zi strip lakini wanabaki nazo wao,if you trust Whatsapp na data zako kila la kheri
Yah kuna app za simu zinaondoa hizo meta data.Umeeleza vizuri.
Je, tuna wataalamu wa kufanya hiyo kazi?hakuna
Picha ngapi zinazunguka mitandaoni?
Meta RemoveApp ya kufutia meta data za kwenye video clip inaitwaje?
Ujasoma chochote mbona unajionesha wazi we ni wale wa maishaidi wa wa serikali hta ethical hacking unaita cyberHapana sijui ndio Nini??App ya Android??sisi tuliosoma Cyber security hatuifahamu hiyo
AhsanteMeta Remove
Asante mkuu umeongeza kitu ambacho nilisahau kusema..ukizima location inawapa ugumu kwenye mambo mengi,ila picha za iPhone zinapenda kuweka location hata ikiwa off...sijafanya uchunguzi nitapiga picha na kutoa maelezo why maybe setting tuYah kuna app za simu zinaondoa hizo meta data.
Lakij pia ili kuminimize wao kujua hilo, hakikisha umezima location ya simu yako.
Itapunguza amount za metadata inayokuwa recorded
Hizi picha na video zitatumika kwenye ushahidi. Ukisha-edit kwa namna yoyote haitakubalika. Sema hivi: Njia sahihi ni kutuma na kumwambia aweke original na ku-edite zile anazoweka kwenye social media. Au wewe umetumwa kuposha watu? Au ni mtu mwenye nia nzuri tu ya kuepusha wasamaria wema?Bila Salamu.,
Nilitaka kuandika hili kama comment katika Uzi Fulani days ago but sikufanya hivyo Sababu niliogopa kwamba kwa kufanya hivyo nitaogopesha watu wanaotuma picha na videos,pili niliogopa kua kama Serikali haifanyi nilichofikiria basi nitakachosema ndio kitawapa mbinu na nini Cha kufanya Kukamata Watu...
So why nimeandika Leo??
Jana nimeangalia caption ya mange kuhusu maiti za mwananyamala alisema kua- "Alie tuma video kaniambia alikua na SIMU mbili Moja maaskari walichukua katika kukagua simu za watu,alio wapa haikua na kitu" Swali,Mange security measure gani anachukua kulinda whistle blowers??ana washauri wa masuala ya intelligence kwenye eneo la tehama..??
TECHNOLOGY ILIVYO:
Ukipiga picha au kurekodi video na simu yako Kuna kitu kinaitwa
META DATA (EXIF DATA) picha au video inabeba taarifa zinazoitwa META DATA, taarifa hizo zinabeba,
*Aina ya simu unayotumia
*Muda ambao picha imepigwa
*GPS location
*software iliyo edit picha
*Camera na serial number..
*Map directions
Kupitia taarifa hizi Wana usalama wanaweza kujua ni Nani alipiga picha hii(sio kushare) simu yake,alipo na picha ngapi ameshare...
Ili uwe salama Kabla hujatuma picha hizo au videos kwanza Remove EXIF DATA kwenye picha au video,HOW??apps zipo free Tena offline,mtandao wa telegram wenyewe una remove automatic..
Njia rahisi ambayo mimi Huwa nafanya,ukishapiga picha..kabla ya kuituma kwanza screenshot,then crop(meta data zinaondoka) then share it unakua safe...
Unafikiri(nafikiri) Polepole alikamatwa vipi??walijuaje location yake??alichomwa na walinzi wake??No aliponzwa na video background kupitia michezo hii ya Meta Data,Watu wakajua alipo(theory)
STAY SAFE..
Kwa users wa iphone kwenye permission kule unaweza ondoa which app itumie location which one isitumieAsante mkuu umeongeza kitu ambacho nilisahau kusema..ukizima location inawapa ugumu kwenye mambo mengi,ila picha za iPhone zinapenda kuweka location hata ikiwa off...sijafanya uchunguzi nitapiga picha na kutoa maelezo why maybe setting tu
Vizuri mkuu kwenye sera zao JF hawajasema mambo hayo na pia usalama wako wewe usitegemee JF jilinde wewe kwanza..Hadi Leo nilikua nafahamu hawafanyi hivyo unaweza kuongeza nyama sio kushindanaMkuu nimejaribu picha kadhaa za JF kufanya hicho kitu. Naongea kitu nachokijua au nipige picha nikuwekee hapa unipe details za kwenye hiyo picha ? Tusije kuwa tunaongea tu theory
jamiiforum waje kudhibitisha kama unachosema ni kweli, watu wanatuma picha zao sana kule selfika.JF Hawa extract META DATA zinakua uchi kama zilivyo, Whatsapp Wana zi strip lakini wanabaki nazo wao,if you trust Whatsapp na data zako kila la kheri
Acha ujinga weweBila Salamu.,
Nilitaka kuandika hili kama comment katika Uzi Fulani days ago but sikufanya hivyo Sababu niliogopa kwamba kwa kufanya hivyo nitaogopesha watu wanaotuma picha na videos,pili niliogopa kua kama Serikali haifanyi nilichofikiria basi nitakachosema ndio kitawapa mbinu na nini Cha kufanya Kukamata Watu...
So why nimeandika Leo??
Jana nimeangalia caption ya mange kuhusu maiti za mwananyamala alisema kua- "Alie tuma video kaniambia alikua na SIMU mbili Moja maaskari walichukua katika kukagua simu za watu,alio wapa haikua na kitu" Swali,Mange security measure gani anachukua kulinda whistle blowers??ana washauri wa masuala ya intelligence kwenye eneo la tehama..??
TECHNOLOGY ILIVYO:
Ukipiga picha au kurekodi video na simu yako Kuna kitu kinaitwa
META DATA (EXIF DATA) picha au video inabeba taarifa zinazoitwa META DATA, taarifa hizo zinabeba,
*Aina ya simu unayotumia
*Muda ambao picha imepigwa
*GPS location
*software iliyo edit picha
*Camera na serial number..
*Map directions
Kupitia taarifa hizi Wana usalama wanaweza kujua ni Nani alipiga picha hii(sio kushare) simu yake,alipo na picha ngapi ameshare...
Ili uwe salama Kabla hujatuma picha hizo au videos kwanza Remove EXIF DATA kwenye picha au video,HOW??apps zipo free Tena offline,mtandao wa telegram wenyewe una remove automatic..
Njia rahisi ambayo mimi Huwa nafanya,ukishapiga picha..kabla ya kuituma kwanza screenshot,then crop(meta data zinaondoka) then share it unakua safe...
Unafikiri(nafikiri) Polepole alikamatwa vipi??walijuaje location yake??alichomwa na walinzi wake??No aliponzwa na video background kupitia michezo hii ya Meta Data,Watu wakajua alipo(theory)
STAY SAFE..
Mkuu hatushindani, lengo letu sote humu tuwe salama na tuchukue taadhari katika hizi nyakati ambazo tunapambania taifa letu mkuu. Jf hiyo feature sasa hivi hizi system kila siku wana improve. Hofu yangu ilikuwa watu kutimia internet kipindi wamefungua alafu ikiwa mtu hata ku update system na app ikawa tatizo , nilikuwa na mashaka sana kipindi ambacho app za watu haziwi update wangeweza tumia wekaness ambazo zimekuwa onekana kipindi hicho kujaribu kufanya exploitation. Nilikuwa nahisi hivyo .. Taadhari muhimu hasa hiki kipindi watu wanawinda sana, wame hire hadi hacker kufanya huu udwanziVizuri mkuu kwenye sera zao JF hawajasema mambo hayo na pia usalama wako wewe usitegemee JF jilinde wewe kwanza..Hadi Leo nilikua nafahamu hawafanyi hivyo unaweza kuongeza nyama sio kushindana
Kama unakumbuka hapahapa JF mwaka 2014 kama sikosei Kuna thread ilikua inaongelea Meta Data za video ya LWAKATARE na usalama wake ambayo ilitumwa hapahapa na Hadi location ikaonesha
Lwakatare Video: Metadata Information Jaribu ku search hivyo..
Binti jiachie vizuri kabisa humu Jf.. Jf ni moja ya mitandao ambao security yake ipo juu sana katika eneo la faragha hata miundombinu yao. Trust me nimejaribu content kadhaa za jf kuzifanyia uchambuzi tena nilikuwa nazipitia contents za chit chat . Pako salama enjoy kwa amanijamiiforum waje kudhibitisha kama unachosema ni kweli, watu wanatuma picha zao sana kule selfika.
Waje waseme wenyewe tofauti na hapo watu wataanza kukonda huku kwa mawazo.Binti jiachie vizuri kabisa humu Jf.. Jf ni moja ya mitandao ambao security yake ipo juu sana katika eneo la faragha hata miundombinu yao. Trust me nimejaribu content kadhaa za jf kuzifanyia uchambuzi tena nilikuwa nazipitia contents za chit chat . Pako salama enjoy kwa amani
Mkuu JF tunaishi kama familia, binafsi ni moja ya kazi zangu na nimejrabu sana kucheki content za jf hasa kule chit chat uzi wa selfika nikihisi wale hawapo aware na usalama wao, wana jipostia tu lakini wapi. JF kwenye protection ya data na privacy wapo vizuri sana mkuu. Ingawa security inaanza na wewe mtumiaji, na security haipo 100% anything can happenWaje waseme wenyewe tofauti na hapo watu wataanza kukonda huku kwa mawazo.
JF wapo vizuri kulinda faragha za watu na mifumo Yao lakini wanashambuliwa sana na Serikali, siku waje watuambie Cyber attack ngapi wanapata kwa mwaka...ila ulinzi wa data zako kama unaogopa Kuna baya ulifanya,jilinde mwenyewe..jamiiforum waje kudhibitisha kama unachosema ni kweli, watu wanatuma picha zao sana kule selfika.