digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,508
- 23,368
Mkuu ni rahisi sana hata Mimi naweza fanya hii kazi.Umeeleza vizuri.
Je, tuna wataalamu wa kufanya hiyo kazi?hakuna
Picha ngapi zinazunguka mitandaoni?
Inategemea na tools ambayo ina extract hizo info, kama sehemu ya hatua ya kwanza katika kubaini muhusika na kuna vitu kadha wa kadha vinavyotumika kuunganisha dots ( combination ) hadi kumtia muhusika nyavuni. Kwa kuanzia hiyo taarifa, sio kazi rahisi sana katika ku combine hizo means hati kumtambua na wakati mwingine kuna trial and errorSi kila metadata inatosha kumtambua mtu moja kwa moja. Mfano, kujua tu aina ya simu hakusemi ni nani aliyeipiga picha. Uchunguzi zaidi unahitajika.
Metadata ni taarifa za kifaa, sio za mtu binafsi:
Ikiwa picha imechukuliwa kwa simu ya Samsung A05, taarifa ya metadata itasema tu "Samsung A05."
Lakini kuna maelfu ya watumiaji wa simu hiyo katika eneo moja.
Hivyo, taarifa hiyo pekee haiwezi kumfanya mdukuzi ajue ni nani hasa alichukua picha.
Kwenye ule uzi wa selfika, Kuna rafiki yangu huyu… tulichitchat usiku wa manane nadhani mlikuwa wana uzi mmelala. Alieleza kuwa security ya JF inaondoa Metadata automatically.Waje waseme wenyewe tofauti na hapo watu wataanza kukonda huku kwa mawazo.
Ni mtu mwenye nia nzuri.Hizi picha na video zitatumika kwenye ushahidi. Ukisha-edit kwa namna yoyote haitakubalika. Sema hivi: Njia sahihi ni kutuma na kumwambia aweke original na ku-edite zile anazoweka kwenye social media. Au wewe umetumwa kuposha watu? Au ni mtu mwenye nia nzuri tu ya kuepusha wasamaria wema?
Haya mambo mi mgeni ndugu, with elimu ya hapa na pale 😅Inategemea na tools ambayo ina extract hizo info, kama sehemu ya hatua ya kwanza katika kubaini muhusika na kuna vitu kadha wa kadha vinavyotumika kuunganisha dots ( combination ) hadi kumtia muhusika nyavuni. Kwa kuanzia hiyo taarifa, sio kazi rahisi sana katika ku combine hizo means hati kumtambua na wakati mwingine kuna trie and error
binti kiziwi haha! Nakuona mkuu unapita kimya kimya pasipo weka neno
Kwenye hili swala la kitaifa kuna expert mbali mbali wamejitolea kutunza ushahidi pasipo kuathiri ushahidi wenyewe. Serikali haina pa kuchomokea kwenye hili walisha fail kitambo sana kuharibu evidenceHizi picha na video zitatumika kwenye ushahidi. Ukisha-edit kwa namna yoyote haitakubalika. Sema hivi: Njia sahihi ni kutuma na kumwambia aweke original na ku-edite zile anazoweka kwenye social media. Au wewe umetumwa kuposha watu? Au ni mtu mwenye nia nzuri tu ya kuepusha wasamaria wema?
Utawa dhalimu umeisha yatimba, tuliotuma picha, video ni wengi sana kama kutuuwa huenda wakafikisha ma million ya watu na kama kutufunga magereza yatajaa hadi kumwagika. Mwisho wa siku wataalamu wao wa Digital Forensics ni tia maji tia maji, kuna kazi huwa wana outsource nje na kuna wengine ma RCO wao huwa wanatupa kazi ya kuwafundisha vijana wao, jamaa ni weupe hacker wenyewe wamechukua wa mkopoHaya mambo mi mgeni ndugu, with elimu ya hapa na pale 😅
Hili nimeligundua hapa katikati.. hawa Meta wanauza watuWhatsapp Wana zi strip lakini wanabaki nazo wao,if you trust Whatsapp na data zako kila la kheri
Protection ya Data na privacy Jamiiforums wapo vizuri, mtu wa jf ukiona ameshikwa ujue kajiuza mwenywe huko PM kwa gear ya mapenzi au ahadi za kazi hadi mtu anajaa kwenye 18, ila nje ya hapo ni ngumu.Kwenye ule uzi wa selfika, Kuna rafiki yangu huyu… tulichitchat usiku wa manane nadhani mlikuwa wana uzi mmelala. Alieleza kuwa security ya JF inaondoa Metadata automatically.
Binafsi sikuwa najua hayo aliyokuwa ananieleza.
Nakusalimia toka "selfika Hadi kwa wallpaper ya simu yako"Kwenye ule uzi wa selfika, Kuna rafiki yangu huyu… tulichitchat usiku wa manane nadhani mlikuwa wana uzi mmelala. Alieleza kuwa security ya JF inaondoa Metadata automatically.
Binafsi sikuwa najua hayo aliyokuwa ananieleza.
WhatsApp sio wamatumbi. Trick wanazotumia kudukua WhatsApp ni za uzembe wa watumiaji, ila wao kama wao wana akili za baba yao Abdul Ameir anae walipa kufanya ujinga ujingaHili nimeligundua hapa katikati.. hawa Meta wanauza watu
Kwa hivyo walinzi wa Polepole walitoweka kabla ya kukamatwa siku ya tukio walijua metadata y a video za boss wao zimeshachukukiwa na watekaji?Unafikiri(nafikiri) Polepole alikamatwa vipi??walijuaje location yake??alichomwa na walinzi wake??No aliponzwa na video background kupitia michezo hii ya Meta Data,Watu wakajua alipo(theory)
Hesabu siku...ule mwisho uliosemwa na Wazee na manabii sasa umekaribia...Abdul tukimtia mikononi nimewaambia wahuni waniachie Mimi,taarifa za ushoga zimenisisimua...Sasa mnaanza kutishana km hivi, tutakomboa taifa kweli?? 😹😹