Warumi apata Danga jf



Da warumi kwani kuna ubaya gani we kupendwa na mtu asiyekujuwa? Usikute jamaa anakuzimia tu kutokana na avatar yako, anaiangalia inampa hisia za hajabu na kuwaza jinsi atakavyokufurahisha siku mkiwa faragha. Mpe mechi kisha uje hapa kutupa ushuhuda wako. Tunakusubiria kwa hamu dada yetu.
 
We acha tu ndio Mana sijawahi kutongoza humu. Kwanza namtongozaje mtu ambae sijawahi kumuona. Yaani unaimgine mtu alivo kuptia avatar[emoji39]

Mwe mwe mwe!

Naomba ufunguo nikague pm yako
 
When the shit hit the fan....
Hivi ndivyo inavyo kua....tehteehh [emoji23][emoji23]
 
We kweli mmbea mstari mmoja wa tongozo umekuja huku kutudolishia!!!

Umenikumbusha enzi hizo ukinunuliwa chupi mpya ukienda shule wakati wa kucheza rede unajifunua mpaka kila mtu aione!!!!
 
Ni kosa la jinai mambo ya PM kuyaweka public, hii ni moja ya kanuni za jamii forum, ndugu unakwama wapi lkn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…