Warumi apata Danga jf

Warumi apata Danga jf

Jamani na nyie wanaume mna mioyo ya ajabu, Sasa warumi mie na umbea wote huu kutwa kusutana kucha humu , bado mtu anakuja inbox ananiambia ananizimikia🤣🤣, nyie ndo mnawabaka hadi vichaa mnawapa mimba🤣🤣.

Haya mwanazengo ahsante kwa kunipenda, Ila najua tu we unapenda umbea wangu wala hunipendi mimi 🤣View attachment 1085676


Da warumi kwani kuna ubaya gani we kupendwa na mtu asiyekujuwa? Usikute jamaa anakuzimia tu kutokana na avatar yako, anaiangalia inampa hisia za hajabu na kuwaza jinsi atakavyokufurahisha siku mkiwa faragha. Mpe mechi kisha uje hapa kutupa ushuhuda wako. Tunakusubiria kwa hamu dada yetu.
 
We acha tu ndio Mana sijawahi kutongoza humu. Kwanza namtongozaje mtu ambae sijawahi kumuona. Yaani unaimgine mtu alivo kuptia avatar[emoji39]

Mwe mwe mwe!

Naomba ufunguo nikague pm yako
 
When the shit hit the fan....
Hivi ndivyo inavyo kua....tehteehh [emoji23][emoji23]
 
We kweli mmbea mstari mmoja wa tongozo umekuja huku kutudolishia!!!

Umenikumbusha enzi hizo ukinunuliwa chupi mpya ukienda shule wakati wa kucheza rede unajifunua mpaka kila mtu aione!!!!
 
Jamani na nyie wanaume mna mioyo ya ajabu, Sasa warumi mie na umbea wote huu kutwa kusutana kucha humu , bado mtu anakuja inbox ananiambia ananizimikia[emoji1787][emoji1787], nyie ndo mnawabaka hadi vichaa mnawapa mimba[emoji1787][emoji1787].

Haya mwanazengo ahsante kwa kunipenda, Ila najua tu we unapenda umbea wangu wala hunipendi mimi [emoji1787]View attachment 1085676
Ni kosa la jinai mambo ya PM kuyaweka public, hii ni moja ya kanuni za jamii forum, ndugu unakwama wapi lkn?
 
Back
Top Bottom