Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Jamani na nyie wanaume mna mioyo ya ajabu, Sasa warumi mie na umbea wote huu kutwa kusutana kucha humu , bado mtu anakuja inbox ananiambia ananizimikia🤣🤣, nyie ndo mnawabaka hadi vichaa mnawapa mimba🤣🤣.
Haya mwanazengo ahsante kwa kunipenda, Ila najua tu we unapenda umbea wangu wala hunipendi mimi 🤣View attachment 1085676
Da warumi kwani kuna ubaya gani we kupendwa na mtu asiyekujuwa? Usikute jamaa anakuzimia tu kutokana na avatar yako, anaiangalia inampa hisia za hajabu na kuwaza jinsi atakavyokufurahisha siku mkiwa faragha. Mpe mechi kisha uje hapa kutupa ushuhuda wako. Tunakusubiria kwa hamu dada yetu.