Ipo siku utalala wiki nzima[emoji28][emoji28][emoji28]Yes ilishawahi kunitokea, ingawa mi napenda kuandika habari za watu wengine,inapokuja upande wangu huwa ni muoga Sana kuongelewa vibaya, hii imenipelekea kutokua na marafiki kabisa kuepuka maneno.
ikitokea nimepata habari mbaya kunihusu, huwa nalala muda mwingi kupunguza stress then nikiamka nakua poa.
Hiyo prfl ni weweHaya mashabiki zangu wa ubuyu nipo live now, uliza chochote kuhusu mimi nitakujibu ,kipi nakufuraisha au kukuboa, its a serious Talk, uwarumi tuuache pembeni kidogo, nakaribisha maswali ,maoni na ushauri, haya sasa uwanja.
Note: Suala la jinsia yangu sitalijibu leo.
Dhuuu kumbe bdo kinda25 na sijatimiza bdo
Unapendelea dushe la aina gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ipo siku utalala wiki nzima[emoji28][emoji28][emoji28]
Ah! Basi...Hawa huwa wanapenda mahogo!!!
Asantesina fake accounts instagram, sio mimi