Warumi: Nipo Live JF now, ask anything about me

Warumi: Nipo Live JF now, ask anything about me

Yes ilishawahi kunitokea, ingawa mi napenda kuandika habari za watu wengine,inapokuja upande wangu huwa ni muoga Sana kuongelewa vibaya, hii imenipelekea kutokua na marafiki kabisa kuepuka maneno.

ikitokea nimepata habari mbaya kunihusu, huwa nalala muda mwingi kupunguza stress then nikiamka nakua poa.
Ipo siku utalala wiki nzima[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Haya mashabiki zangu wa ubuyu nipo live now, uliza chochote kuhusu mimi nitakujibu ,kipi nakufuraisha au kukuboa, its a serious Talk, uwarumi tuuache pembeni kidogo, nakaribisha maswali ,maoni na ushauri, haya sasa uwanja.

Note: Suala la jinsia yangu sitalijibu leo.
Hiyo prfl ni wewe
 
Kwann mnahangaika sana kumfahamu dadaangu, warumi ni dada angu and i real love her so much
 
Staki kuuliza ulilelewa mazingira gan maana najua ni uswahilini.
Unapata wap pesa za kujikimu akati mda wote upo mitandaoni?
 
Back
Top Bottom