Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,160
- 9,151
Ipo siku utalala wiki nzima[emoji28][emoji28][emoji28]Yes ilishawahi kunitokea, ingawa mi napenda kuandika habari za watu wengine,inapokuja upande wangu huwa ni muoga Sana kuongelewa vibaya, hii imenipelekea kutokua na marafiki kabisa kuepuka maneno.
ikitokea nimepata habari mbaya kunihusu, huwa nalala muda mwingi kupunguza stress then nikiamka nakua poa.