Yekevalia
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 313
- 178
Labda ndio anautafutia hapaTukuulize maswali kwani we ni maarufu?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ndio anautafutia hapaTukuulize maswali kwani we ni maarufu?!
Tukuulize maswali kwani we ni maarufu?!
Tena mchicha mwiiba[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Vipi mrengo wako wa siasa, wewe ni chama gani..nimesoma mpaka form six, nikafanya dip ya IT then nikafanya dip tena nairobi ya business
kwa sasa sina chama, kuhusu magu nadhani kwa stage tuliyofikia tulihitaji kiongozi kama yeye, watu walijisahau sana na kujiachia, jamaa anafanya poa japokua muda mwingine anazidisha na watu kumuona ni dictator, ila kwangu magu ni kiongozi makini na anajua anachokifanya, anasimamia anachokiamini kama raisi , pia ni raisi ambaye hapendi treatment za kiraisi, yupo simple sanaVipi mrengo wako wa siasa, wewe ni chama gani..
Je unaonaje style ya Magu ukiweka itikadi pembeni...
Muongo
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji13] [emoji13] [emoji13]aaa mjamaa jiongeze bas c majambaz
lolBinafsi najisikia mkosefu sasa kukuuliza jinsia yako!!
Nimeshajua na nahisi nilikuwa sahihi siku nyingi tu, sema leo kwa vile umetaka mwenyewe kuulizwa nikajisikia tu kutaka kusikia kutoka kwako!!