Warumi: Nipo Live JF now, ask anything about me

Warumi: Nipo Live JF now, ask anything about me

Binam unashabikia mechi gan ya mpira hapa bongo na ulaya??
 
nimesoma mpaka form six, nikafanya dip ya IT then nikafanya dip tena nairobi ya business
Vipi mrengo wako wa siasa, wewe ni chama gani..
Je unaonaje style ya Magu ukiweka itikadi pembeni...
 
Vipi mrengo wako wa siasa, wewe ni chama gani..
Je unaonaje style ya Magu ukiweka itikadi pembeni...
kwa sasa sina chama, kuhusu magu nadhani kwa stage tuliyofikia tulihitaji kiongozi kama yeye, watu walijisahau sana na kujiachia, jamaa anafanya poa japokua muda mwingine anazidisha na watu kumuona ni dictator, ila kwangu magu ni kiongozi makini na anajua anachokifanya, anasimamia anachokiamini kama raisi , pia ni raisi ambaye hapendi treatment za kiraisi, yupo simple sana
 
Back
Top Bottom