Warumi (RIP) nimekumiss mwenzio

Ni ME mwenye u KE ndani yake
Hapo sawa, maana nakumbuka alishaleta mgogoro kuhusu ujinsia wake, aliwahi kujichanganya. Kwa kuwa ni hayati sasa yaishe. Mungu aifariji familia kwa majonzi haya.
 
Kabla ya kuishia hapo sio mbaya kama ungesema ni wanaume wepi waliokubali kuingizana. Vinginevyo niseme tuu comment yako inakosa maana kwenye huu uzi
Upo sahihi kijinsi maana kwa upande wenu hili suala hamlioni kama jinsi isiyoyako inavyoliona. Niishie hapo maana huu uzi ni wa kusifia tu.
 
ina maana warumi amefariki ? heeeee lini tena jamani mbona hawakuweka tanzia hapa? au mm sikuwepo
 
Sikatai kufa mkuu maana hakuna namna , ila pia sioni mantiki ya kuzaliwa na kupambana na tabu za dunia,

Kwa hiyo ulitaka uendelee kuwa 'bao' uwe unapiga tu mbizi kwenye korodani? 😄
 
Tanzia ilikuwepo ya muda tu, na kuna watu hadi nadhani walienda kuzika Mbeya ,
aiseee yaani kaniliza huyu warumi maana ametangulia mapema hivyo daaa ila duniani tu wasafiri
 
Mi celebrities siku hizi napaskia kuumia sana.
Last two days kidogo niandike hivi hivi.

We miss you warumi
Na ulisema "hapatatokea mwingine wa aina yangu hili jukwaa"
Kweli aiseeeh.
Tumesalimu amri.
Umetuweza mb....a wewe.
Mxxxiiew( hii fyonza yako kila nikiiandika popote siachi kukumiss)
Pumzika salama rafiki.
Ahsante kwa wakati mzuri ulioshare nasi.

Sema nini, itakuwa una maumbea kibao ya huko ya kina Ngwea sijui Masongange ila tu ndo huwezi kutumegea.
Until we meet again Lil bro!!
Forever in my heart we nyau!!
 
bestito ssasa mbona mwishoni unamaliza na neno hilo jamani "WE NYAU" tena
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] kwa kweli.
 
Nime mmic binamu warumi had nachizika, alikua kila kitu kwangu, nikiitazama no yake nataman kupiga labda atapokea, picha zake nikitazana nahis ndoto, nalia ev time, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Jamaa kumbe Alishafariki!!

Aisee!!,

Hakuna haijuaye kesho yake.

R.i.P warumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…