t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Sikatai kufa mkuu maana hakuna namna , ila pia sioni mantiki ya kuzaliwa na kupambana na tabu za dunia,Hahah!!
Unataka usife halafu kitokee nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikatai kufa mkuu maana hakuna namna , ila pia sioni mantiki ya kuzaliwa na kupambana na tabu za dunia,Hahah!!
Unataka usife halafu kitokee nini?
Kweli hata uchambuzi wa Paula ungetolewa r.i.p him.
Lakini kumbuka hizo sifa hazimufikii kwa nini msiwe mnatoa sifa mtu akiwa hai?
mama D hebu kama kuna mtu mwingine anakufurahisha humu mpe sifa akiwa hai ili azipokee
Hapo sawaWapo wengi na huwa nawaambia wanajijua
Happy new month to you 👋
Hapo sawa, maana nakumbuka alishaleta mgogoro kuhusu ujinsia wake, aliwahi kujichanganya. Kwa kuwa ni hayati sasa yaishe. Mungu aifariji familia kwa majonzi haya.Ni ME mwenye u KE ndani yake
Dah! Nami ndio nimeona aisee..... Nilikuwa namuona sana jukwaa la historia na kule great thinker.RIP
Upo sahihi kijinsi maana kwa upande wenu hili suala hamlioni kama jinsi isiyoyako inavyoliona. Niishie hapo maana huu uzi ni wa kusifia tu.Kabla ya kuishia hapo sio mbaya kama ungesema ni wanaume wepi waliokubali kuingizana. Vinginevyo niseme tuu comment yako inakosa maana kwenye huu uzi
ina maana warumi amefariki ? heeeee lini tena jamani mbona hawakuweka tanzia hapa? au mm sikuwepoKila mtu unique na Warumi alikua wa aina yake.
1.Uwezo mkubwa wa kuchambua mambo
2.Msimamo katika alichokiamini
3.Alikua na uwezo mkubwa wa kuona ubora kwenye watu/vitu bora
4.Pia alikua na uwezo wa kuona ubora kwenye watu/vitu visivyo bora
5.Alikua na uwezo mkubwa wa ushawishi
6.Alikua msema ukweli, hata ule ukweli unaouma
7.Alikua hodari wa kulumbana kwa hoja zenye mashiko
8.Kila neno aliloliongea hata liwe na ukakasi lilikua na thamani kwenye content yake
9.Alikua mtu wa watu, nna uhakika sio hapa jukwaani tuu ila hata nje ya jukwaa
10.Naweza kusema alikua na akili nyingi sana, akili za kizaliwa
Warumi alikua mmoja kati ya members mahiri sana kwangu hapa jf
mm sielewi kwani huyu ndugu amefariiki lini tena jaman?Dadaa, usitukumbushe machungu.
Sikatai kufa mkuu maana hakuna namna , ila pia sioni mantiki ya kuzaliwa na kupambana na tabu za dunia,
May be kuna kitu kizuri ukiwa state hiyo ,Kwa hiyo ulitaka uendelee kuwa 'bao' uwe unapiga tu mbizi kwenye korodani? 😄
R.I.P Mlenge
aiseee yaani kaniliza huyu warumi maana ametangulia mapema hivyo daaa ila duniani tu wasafiriTanzia ilikuwepo ya muda tu, na kuna watu hadi nadhani walienda kuzika Mbeya ,
bestito ssasa mbona mwishoni unamaliza na neno hilo jamani "WE NYAU" tenaMi celebrities siku hizi napaskia kuumia sana.
Last two days kidogo niandike hivi hivi.
We miss you warumi
Na ulisema "hapatatokea mwingine wa aina yangu hili jukwaa"
Kweli aiseeeh.
Tumesalimu amri.
Umetuweza mb....a wewe.
Mxxxiiew( hii fyonza yako kila nikiiandika popote siachi kukumiss)
Pumzika salama rafiki.
Ahsante kwa wakati mzuri ulioshare nasi.
Sema nini, itakuwa una maumbea kibao ya huko ya kina Ngwea sijui Masongange ila tu ndo huwezi kutumegea.
Until we meet again Lil bro!!
Forever in my heart we nyau!!
Teh tehOhooooo, Mama D mbona kama unatuaga vile? [emoji2297][emoji2297]
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] kwa kweli.Mi celebrities siku hizi napaskia kuumia sana.
Last two days kidogo niandike hivi hivi.
We miss you warumi
Na ulisema "hapatatokea mwingine wa aina yangu hili jukwaa"
Kweli aiseeeh.
Tumesalimu amri.
Umetuweza mb....a wewe.
Mxxxiiew( hii fyonza yako kila nikiiandika popote siachi kukumiss)
Pumzika salama rafiki.
Ahsante kwa wakati mzuri ulioshare nasi.
Sema nini, itakuwa una maumbea kibao ya huko ya kina Ngwea sijui Masongange ila tu ndo huwezi kutumegea.
Until we meet again Lil bro!!
Forever in my heart we nyau!!
Umekatika kama mwezi hivi.mm sielewi kwani huyu ndugu amefariiki lini tena jaman?