Wasabato kaeni macho na hii kwaya

Wasabato kaeni macho na hii kwaya

Status
Not open for further replies.
Ila ww una pepo!mimi jnimewahi imba kwaya sema ni vijijin hakukuwa na hizo ishu..mayb coz nilikua bado mtoto!unapepo..mkataze pia asifanye kazi yyt akae tu hom..mkataze asiend ht kikoba hta kanisani mtumish...!yule akeshaye akesha bure!
Nakuambiaje Mane, mke wangu katu hataimba kwaya, aende popote akafanye kazi, akalime, akauze nyanya lakini hataimba kwaya. Hata mimi niliimba, tena nikiwa sekondari, niliimba kwaya na quartets za kutosha tu. Nasema tena, hataimba!!
 
Umenikumbisha mbalii na Kwaya ya The golden gate kati ya nyimbo zao nyingi ni "Watalia jua na mwezi vikianguka "daah wale ndugu walimuimbia Mungu kwa ustadi hasa

Yaan wanajua mno...mm siku hiz nimeacha mapenzi na kurasin sda..nimegundua wanaimba kwa ngv sana mishipa hyoo...golden gate is the best .wataliaaaa uwiiiii jua namwezi vikianguka..dah...!
 
Nakuambiaje Mane, mke wangu katu hataimba kwaya, aende popote akafanye kazi, akalime, akauze nyanya lakini hataimba kwaya. Hata mimi niliimba, tena nikiwa sekondari, niliimba kwaya na quartets za kutosha tu. Nasema tena, hataimba!!

Bas ww ulikua kiwembe kwa madada wa kwaya!kwanza mm hubby akisikia naimba kwaya atanipongeza sana!unatongozwaje n mwanakwaya sasa jaman km sio kunajisi kanisa😯😏😏
 
Bas ww ulikua kiwembe kwa madada wa kwaya!kwanza mm hubby akisikia naimba kwaya atanipongeza sana!unatongozwaje n mwanakwaya sasa jaman km sio kunajisi kanisa[emoji54][emoji57][emoji57]
Sekondari nilikuwa sijui ngono kivile, nilikuja kujiunga rasmi nikiwa V na sio kivile. Huko kwayani wanangonoka kuliko unavyodhani, watu wa sasa wanangonoka vibaya mno, ngono ni bonge la starehe Kwa maanadamu wa sasa.(usiniambie kwako sio[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39])
 
Mkuu mbona sioni hili jina la kwaya u tube??
Nilitaka nione uzuri wa hii kwaya kwanza manake ni muumini mzuri wa nyimbo za kisabato.
MIMI mwenyeew nimebaki kutafuta kwaya maana wana wanaume wazuri sana, yaani
 
Sekondari nilikuwa sijui ngono kivile, nilikuja kujiunga rasmi nikiwa V na sio kivile. Huko kwayani wanangonoka kuliko unavyodhani, watu wa sasa wanangonoka vibaya mno, ngono ni bonge la starehe Kwa maanadamu wa sasa.(usiniambie kwako sio[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39])

Duh!haya mkuu wa utumishi!mm niwe mkwli ngono sio kipaumbele kbs!ntaenda siku moja hosp!huenda wana dawa
 
Duh!haya mkuu wa utumishi!mm niwe mkwli ngono sio kipaumbele kbs!ntaenda siku moja hosp!huenda wana dawa
Pole sana, unakosa vitu vizuri. Kama kweli kwako sio kipaumbele, what's the money for? Traveling? Eating? Au nini? Pesa itafutwe ili tukaile na watoto wazuri huku tukifiurahia utamu mtumishi[emoji39]
 
Halafu ikatokea unaishi na mwanaume bila ndoa watakavyokunyanyapaa hutapewa hata kazi ya kupanga viti kanisani. Kumbe wameficha midhambi Yao kwenye kujifanya waimbaji na kutoa mimba.
Ukweli mnaaibisha kanisa la Mungu. Kama Lekundayo na wenzako hamtakemea haya na kuifunga hiyo kwaya Kama mlivyofanya kwa kwaya ya muungano basi nitajua Hali imekuwa tete. Simamieni maadili km mnavyosimamia na kusisitiza makusanyo ya zaka na sadaka
aisee dada mbona unakashifu madhehebu ya watu,wasioenenda kwa sheria na ushuhuda wa imani ya yesu kwao hakuna asubuhii
 
Halafu ikatokea unaishi na mwanaume bila ndoa watakavyokunyanyapaa hutapewa hata kazi ya kupanga viti kanisani. Kumbe wameficha midhambi Yao kwenye kujifanya waimbaji na kutoa mimba.
Ukweli mnaaibisha kanisa la Mungu. Kama Lekundayo na wenzako hamtakemea haya na kuifunga hiyo kwaya Kama mlivyofanya kwa kwaya ya muungano basi nitajua Hali imekuwa tete. Simamieni maadili km mnavyosimamia na kusisitiza makusanyo ya zaka na sadaka
kanisa lazima lipitie kwenye misukosuko ndio dalili za kanisa la leodekia kwa hiyo ndugu zangu tupigane vita vya imani
 
kanisa lazima lipitie kwenye misukosuko ndio dalili za kanisa la leodekia kwa hiyo ndugu zangu tupigane vita vya imani

Vita ya Iman itakuja tu ila hii ni Ujinga na uzembe ingawa watu mnaficha kwa kusema Vita ya iman
 
mwebrania mwenzangu kama ni kweli yanafanyika Bwana atashughulika nao
 
Pale kuna wanafunzi, wake za watu, wanachuo, hakuna sababu ya kutetea ujinga
Kwahiyo mkeo ni mtoto? Akitongozwa analiwa? Weweeee acha dharau kwa mkeo. Ukiendekeza wivu wa kindezi ataliwa kweli shauri zako, au labda ashaliwa tayari
 
Duh!haya mkuu wa utumishi!mm niwe mkwli ngono sio kipaumbele kbs!ntaenda siku moja hosp!huenda wana dawa
Kama hujaolewa ni sawa, baki hivyo. Lakini kama umeolewa ukishindwa kufanya tendo la ndoa kama kipaumbele itakuwa makwazo mabaya sana kwa mwenzako
 
Ninachojua moja kati ya watu poa sana hawana maringo na wanapesa ya kutosha ni mmiliki wa hiyo kwaya Bwana Waziri,ni mtu asiye na maringo kabisa,na anaongea na kila mtu.Ameamua kujitolea fedha zake kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji.La sivyo angeweza kufungua bar,au kuwekeza kwenye vitu vinavyopoteza zaidi waimbaji.

Mwalimu wa kwaya simfahamu................siwezi sema lolote

Na wewe ndio Waziri mwenyewe, watu wanajaribu kukuchafua.... jitafakari huenda kuna wachache wananajisi kazi yako.
 
Ukoo wa Nyakageni na 2013 ni wasabato lkn wanakufa na umri mdogo kwa sababu za kupika na kuuza Kangara na kimpumu.
Wanasema Bibilia haijakataza Pombe haramu.
Naomba ufafanuzi hapo otherwise uzi wako ni uongo mtupu
 
nyaubanguchiro,
Nilikuwa msabato na bado naipenda sana Sabato mpaka leo hii, ila kwa sasa nimeshakuwa Mlokole! Tatizo kubwa sana nililonalo sasa hivi ni kwamba najua yote yaliyoko kwenye usabato na baadhi tu ya yaliyoko kwenye ulokole, na hilo ndiyo tatizo pekee linalonifanya niendelee kuwa mlokole!

Nadhani siku nikishayajua yote yaliyoko kwenye ulokole, naweza nikarudi tena Sabato. Tatizo lililopo ni kuwa itikadi ya walokole imejikita kwa Roho Mtakatifu aliyeshuka siku ya Pentekoste, wiki kadhaa baada ya Yesu kuwa amepaa mbinguni.

Sasa huyu Roho Mtakatifu ni FACT kuwa hana mwanzo na wala mwisho, ila tofauti na mimi, mwanzo ninao japo nami mwisho sina. Sasa najiuliza ni lini yaliyoko kwenye ulokole nitakuja kuyajua yote, ili angalua nipate tena nafasi ya kuhamia kwingine? Msaada tafadhali katika hili, kama upo!
 
Nilikuwa msabato na bado naipenda sana Sabato mpaka leo hii, ila kwa sasa nimeshakuwa Mlokole! Tatizo kubwa sana nililonalo sasa hivi ni kwamba najua yote yaliyoko kwenye usabato na baadhi tu ya yaliyoko kwenye ulokole, na hilo ndiyo tatizo pekee linalonifanya niendelee kuwa mlokole! Nadhani siku nikishayajua yote yaliyoko kwenye ulokole, naweza nikarudi tena Sabato. Tatizo lililopo ni kuwa itikadi ya walokole imejikita kwa Roho Mtakatifu aliyeshuka siku ya Pentekoste, wiki kadhaa baada ya Yesu kuwa amepaa mbinguni. Sasa huyu Roho Mtakatifu ni FACT kuwa hana mwanzo na wala mwisho, ila tofauti na mimi, mwanzo ninao japo nami mwisho sina.. Sasa najiuliza ni lini yaliyoko kwenye ulokole nitakuja kuyajua yote, ili angalua nipate tena nafasi ya kuhamia kwingine? Msaada tafadhali katika hili, kama upo!

Mimi nimeolewa RC..Lakini nimeshindwa kbs kusali kule .najiona kbs najidanganya!...bora urudi usabatoni mkuu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom