Wasabato kaeni macho na hii kwaya

Wasabato kaeni macho na hii kwaya

Status
Not open for further replies.
Umenikumbisha mbalii na Kwaya ya The golden gate kati ya nyimbo zao nyingi ni "Watalia jua na mwezi vikianguka "daah wale ndugu walimuimbia Mungu kwa ustadi hasa
Yaan huwa naziskia radio moja nakumbukia utoto wangu naupenda ule unaimba..twaimba tumejaa furaha ....Yesu kristo ni bwana wa mabwana tunafuraha kwaajili ya aman tulopewa[emoji4][emoji4][emoji4]..sauti tamu mno!ndo maana mm mtu aniletee cd ya Bon mwaitege namwambia kauze tu .aliwah niletea hubby cd ya bon ya wimbo wa mama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!ukwel nilimwambia rudisha tu[emoji6]!hao kina rose waaruka km sarakasi hapana aisee
 
Aiseee
Mwisenge SDA
Karibu na Veta.
Shule ya Nyerere
Njia ya kuelekea Majita Road
Mwisenge Madukani.
Makoko
Yeah hapo Hapo! Enzi hizo Dickson Manumbu aliye wahi kuwa Mwanasiasa nae alikuwa anakuja kusali hapo kabla hajahamia America!
 
Kwa issue ya uzinzi usitegemee kupata ukweli upande wa pili maana hutaupata
Hata kama ana hoja za msingi kiasi gani....wakristo hawa operate hivyo...kwa kuanika madhaifu ya ndugu zao ktk imani tena mtandaoni. Alipaswa kuwaona kwanza.

Cha pili ni kuwa tumesikia upande mmoja tu wa mleta mada, hao Lightbearers hatujawasikia.
 
Kwani Mungu kasema anataka kuimbiwa?


Unajua sifa za Mungu unayemtumikia?
Zipo zaid ya kumi Na moja wapo ipo hyo,njia moja wapo ya kutimiza sifa zako ipo ndani ya nyimbo,kabla sijakujibu swali lako tujaje kwanza sifa za Mungu kwa kupokezana

1)God is omnipotent(All able)
2) God is All seeing
3)
4)

Twende kazi
 
Action ya huku mtandaoni na jina bandia ni action bandia tu, majungu. Kama madai yako ni ya kweli nenda panapohusika ukayatoe madai yako huko. Vinginevyo kinachofanyika hapa ni majungu na umbea tu.

Boss this is free talk forums, wahusika wapo na wanasoma na wanafanyia kazi ndio maana kuna forums kama hizi
 
Huu uzi unaeleweka na wasabato tu nini ? Nikisoma uzi vs comments..naona vitu viwil tofaut...hizo shutuma najaribu zitafuta kwa post sizion, ila naona kila mchangiaj anaziona..

Nahisi simu yangu imeamua nificha jambo
 
Hana hoja ya msingi mkuu binafsi sijamuelewa anataka nini
Naoma mode original mesage wameiondoa !!!! heheee sasa ina maana gani? kuepusha shari ama ndio kulinda waliosemwa na mie hapa nimeduaa tuu!! Why?
 
Hakuna ujumbe wowote zaidi ya majungu ya wivu

😂 😂 Wao wenyewe wanajua, ww haujui kitu, wenyewe wanajua nn huwa kinafanyika kwenye noah, nn kilifanyika Marekani, nn walimfanyia yule dada bonge white wa Makongo juu KK, wao wenyewe wahusika wanajua na hawawezi kuchukua hatua Coz wanajua mambo yatakayo mwagika ni mengi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom