Wasabato kaeni macho na hii kwaya

Wasabato kaeni macho na hii kwaya

Status
Not open for further replies.
Kuna Mkuu anawasema Wasabato sijui matapeli si kweli Sabato ni kanisa kama makanisa mengine udhaifu wa mtu au kikundi haimaanishi ni udhaifu wa kanisa
Tuheshimu imani za watu
** hii kwaya hawaimbi vizuri kihivyooooo wapo sana kwa Instagram sijawaona kwa youtube
Huwa najiuliza hawa waimbaji wana kazi kweli kutwa wapo njiani

Si kila uimbaji ni uimbaji wa kumtukuza Mungu kuna wengine wapo kibinafsi zaidi
**swali kwa mtoa mada ina maana kila Kwaya nchini inapaswa kusajiliwa sio kanisa ndio linasajiliwa mie sijaelewa hapo!
****Mwimbieni Bwana......
 
Unaongea kama unawaonea huruma dada zetu, wakati kiukweli dada zako wasipokazwa wanapata magonjwa. Hivyo ukiwa mwanamke ni muhimu sana kukazwa. Kwa taarifa yako mwanamke anapaenda kupigwa miti kuliko kawaida, unaweza kudhani kuwa unamkomoa kumbe unajikomoa mwenyewe. Raoluoroliech,
 
unafugwa kiimani bila kujitambua. Eti chochote unachopata kinaingia kwenye shirika, wewe ni kupasua sala tu ,inaingia akilini kweli? Usioe au kuolewa!!! We acha tu!!
 
Very sorry. We have a very long journey to go to reach Christianity and maturity, if the one who wrote this is also a true christian. Light bearers be strong this moment, we hope it will pass too.
 
Ninachojua moja kati ya watu poa sana hawana maringo na wanapesa ya kutosha ni mmiliki wa hiyo kwaya Bwana Waziri,ni mtu asiye na maringo kabisa,na anaongea na kila mtu.Ameamua kujitolea fedha zake kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji.La sivyo angeweza kufungua bar,au kuwekeza kwenye vitu vinavyopoteza zaidi waimbaji.

Mwalimu wa kwaya simfahamu................siwezi sema lolote
 
Ninachojua moja kati ya watu poa sana hawana maringo na wanapesa ya kutosha ni mmiliki wa hiyo kwaya Bwana Waziri,ni mtu asiye na maringo kabisa,na anaongea na kila mtu.Ameamua kujitolea fedha zake kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji.La sivyo angeweza kufungua bar,au kuwekeza kwenye vitu vinavyopoteza zaidi waimbaji.

Mwalimu wa kwaya simfahamu................siwezi sema lolote
Kwa wasabato kwaya haimilikiwi na mtu binafsi, humilikiwa na kanisa.
 
Kupigana miti kwa Hilo dhehebu Ni Jambo la kawaida Sana. kuanzia kwenye kwaya mpaka kwenye makambi. uchafu mtupu. Nachochea kuni huenda anachokisema mtoa mada kina ukweli Ila ameshindwa kuweka ushahidi.
Kama ilivyo kwa Dhehebu flani Viongozi wao kutatua Watoto wa Waumini wao marinda!
 
SAsee naomba unisaidie njia rahisi ya kupata audios za Golden Gate kiswahili kuanzia 1990 kurudi nyuma. Kama utakuwa unazifahamu.


Yaan huwa naziskia radio moja nakumbukia utoto wangu naupenda ule unaimba..twaimba tumejaa furaha ....Yesu kristo ni bwana wa mabwana tunafuraha kwaajili ya aman tulopewa😊😊😊..sauti tamu mno!ndo maana mm mtu aniletee cd ya Bon mwaitege namwambia kauze tu .aliwah niletea hubby cd ya bon ya wimbo wa mama🤣🤣🤣🤣🤣🤣!ukwel nilimwambia rudisha tu😉!hao kina rose waaruka km sarakasi hapana aisee
 
I think mwenye huu uzi yy ana hoja zake za msingi so tusimpuuze, even though wazo lako ni jema pia
Hata kama ana hoja za msingi kiasi gani....wakristo hawa operate hivyo...kwa kuanika madhaifu ya ndugu zao ktk imani tena mtandaoni. Alipaswa kuwaona kwanza.

Cha pili ni kuwa tumesikia upande mmoja tu wa mleta mada, hao Lightbearers hatujawasikia.
 
Kabisa Mkuu me pia ni muadventista kama kuna hitilafu iangaziwe,iondolewe na isafishwe,kulea na kutaka kuficha mambo ya kipuuzi kisa tu yanagusa moja kwa moja imani au dhehebu letu,hailifanyi kuwa chafu bali inalifanya kuwa nyumba ya maovu na machukizo,sio kwa watu tu hata mbele za M.Mungu.


Sabato gani inayoshutumu watu namna hii .labda uwe umeingia usabatoni na ukiwa umeshazeeka..sabato ukikengeuka wanakufata wazee wa kanisa kwanza wanakuask vzr ....shida ni nn..hakunaga kisemana km mtu na mke mwenza kule ..!huyu ana lake jamabo either sio msda amesikia tu sehem aubkina demu alihis atanng'oa kafeli!
Hii case angempelekea mlez wa kwaya au ht mchungaji!
Ni vilr nimeacha tu kusali sda ila hawana mipasho km upande wa 2
 
Mm nina picha mpaka conversion za huyo Mwalimu wenu, sasa ww unasema majungu 100% lete fact


Sasa hizo convo si upeleke kwa mchungaji au mzee wa kanisa??huku unahis unapata nn?yaan ww msabato jina tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom