Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa mkuu ndio. Alisema tusipomsifu milima itamsifuKwani Mungu kasema anataka kuimbiwa?
..huyo wa Tabata namfahamu, kuliwa siwezi kutoa maoni. Japo kila mwanaume/mwanamke at some point in time lazima aliwe/ale.Sasa ngoja nikupe data nyingine, ni kweli huyo Mwalimu ndio tabia yake tena alikuwa anawagonga kwenye noah, na kuna time walienda Marekani huko alikula mwanakwaya mpaka walimfumania naweza Kukupa mpaka jina la huyo mwanakwaya na bado kuna mwingine anasoma ifm anakaa Tabata Yan wapo kibao muhimu ni kufanyia kazi Coz inachafua sana dhehebu
Wakuu naona watu wengi ima kwa namna moja ama nyingine mnajaribu kumpinga huyu mtoa mada,wakuu niwaambie tu ukweli hadi mtu kufikia kuandika haya tena kwa hisia kiasi hiki kuna kitu kimemugusa,na hili jambo sio la kupuuza.Sasa ngoja nikupe data nyingine, ni kweli huyo Mwalimu ndio tabia yake tena alikuwa anawagonga kwenye noah, na kuna time walienda Marekani huko alikula mwanakwaya mpaka walimfumania naweza Kukupa mpaka jina la huyo mwanakwaya na bado kuna mwingine anasoma ifm anakaa Tabata Yan wapo kibao muhimu ni kufanyia kazi Coz inachafua sana dhehebu
Hizi ndizo akili mbovu na za kijinga,badala ya kutoa analysis na solution ya tatizo,kosa la kikundi cha watu wasiozidi 20,unakimbilia kufanya generalization kwa kanisa zima lenye mamilioni ya watu,hiyo sio hekima,bali unreasonable doubt.Kupigana miti kwa Hilo dhehebu Ni Jambo la kawaida Sana. kuanzia kwenye kwaya mpaka kwenye makambi. uchafu mtupu. Nachochea kuni huenda anachokisema mtoa mada kina ukweli Ila ameshindwa kuweka ushahidi.
Kabisa Mkuu me pia ni muadventista kama kuna hitilafu iangaziwe,iondolewe na isafishwe,kulea na kutaka kuficha mambo ya kipuuzi kisa tu yanagusa moja kwa moja imani au dhehebu letu,hailifanyi kuwa safi bali inalifanya kuwa nyumba ya maovu na machukizo,sio kwa watu tu hata mbele za M.Mungu.Huu ni uzi wa 5 ambao unahusisha na hiyo kwaya so lazima kutakuwa na kitu sio jambo la kupuuza
Ni sehemu ya maisha wewe ulipatikanaje km watu hawakukumbatiana, tena some times kwenye mnazi. wakafanya huo uzinzi, wanakwaya nyie pigeni mambo tuwe wengi.Ntasoma kesho nikiwa safarini maana umegusa penyewe. Ila uzinzi unaofanywa na wanakwaya umekithiri
Hii ni majungu 100%.
Kama umeona wivu kaanzishe kundi lako.
Huko kanisani kwenu hakuna utaratibu wa kushughulikia malalamiko kama haya? Kalalamike kanisani kwenu huko.
Wivu tu.
Hii ni majungu 100%.
Kama umeona wivu kaanzishe kundi lako.
Huko kanisani kwenu hakuna utaratibu wa kushughulikia malalamiko kama haya? Kalalamike kanisani kwenu huko.
Wivu tu.
Kama wewe ni Mkristo kweli na umeona ndugu zako katika BWANA wanakosea mahala....je neno kama lilivyoelezwa na Yesu, halisemi ..."...enenda ukamuone" yaani badala ya kukimbilia hapa mitandaoni ulipaswa ujaribu kumuona mmoja wa viongozi wao.Mm nina picha mpaka conversion za huyo Mwalimu wenu, sasa ww unasema majungu 100% lete fact
Una uhakika hao waliotuhumiwa kuwa wazinzi ni wazinzi kweli?Ni ujinga kuhalalisha uzinzi na uasherati kwa kigezo cha umbea wa mtu huyu hata kama hajatumia utaratibu kadri unavyoelekeza.
Povu linamtokaa jamaaaatakuwa ni mmoja wa wahanga nini
Vizuri kwa kufichua maovu, hasa hasa ya kanisa zima la Wasabato, kanisa hilo ni la kukimbiwa, hiyo kwaya naifananisha na Golden Gate ya Uganda, waimbaji wake walikuwa wanatombana sana hadi wote wakafa kwa Ukimwi wa enzi hizo