Wasabato kaeni macho na hii kwaya

Wasabato kaeni macho na hii kwaya

Status
Not open for further replies.
The Light Bearers, nawafahamu wadada wawili personally. Nimesali nao sana kanisa fulani tangu 2014 hivi. Unachosema siwezi kupinga coz sina facts, ila huenda una chuki zako tu.

Wanaimba poa sana!!!
 
Sasa ngoja nikupe data nyingine, ni kweli huyo Mwalimu ndio tabia yake tena alikuwa anawagonga kwenye noah, na kuna time walienda Marekani huko alikula mwanakwaya mpaka walimfumania naweza Kukupa mpaka jina la huyo mwanakwaya na bado kuna mwingine anasoma ifm anakaa Tabata Yan wapo kibao muhimu ni kufanyia kazi Coz inachafua sana dhehebu
..huyo wa Tabata namfahamu, kuliwa siwezi kutoa maoni. Japo kila mwanaume/mwanamke at some point in time lazima aliwe/ale.
 
Sasa ngoja nikupe data nyingine, ni kweli huyo Mwalimu ndio tabia yake tena alikuwa anawagonga kwenye noah, na kuna time walienda Marekani huko alikula mwanakwaya mpaka walimfumania naweza Kukupa mpaka jina la huyo mwanakwaya na bado kuna mwingine anasoma ifm anakaa Tabata Yan wapo kibao muhimu ni kufanyia kazi Coz inachafua sana dhehebu
Wakuu naona watu wengi ima kwa namna moja ama nyingine mnajaribu kumpinga huyu mtoa mada,wakuu niwaambie tu ukweli hadi mtu kufikia kuandika haya tena kwa hisia kiasi hiki kuna kitu kimemugusa,na hili jambo sio la kupuuza.

Wito wangu tu,ikiwa kuna mtu kwa namna moja au nyingine anaweza fanya kitu asaidie hili suala,lipate utatuzi.

Inayodharirika ni jamii na kanisa kwa ujumla kwa tabia mbovu za watu wachache.

Mkuu me nakupongeza sana kwa uthubutu wako wa kufichua maovu haijalishi yanatugusa ama la,hongera Mkuu,puuza wanaoku attack.
 
Kupigana miti kwa Hilo dhehebu Ni Jambo la kawaida Sana. kuanzia kwenye kwaya mpaka kwenye makambi. uchafu mtupu. Nachochea kuni huenda anachokisema mtoa mada kina ukweli Ila ameshindwa kuweka ushahidi.
Hizi ndizo akili mbovu na za kijinga,badala ya kutoa analysis na solution ya tatizo,kosa la kikundi cha watu wasiozidi 20,unakimbilia kufanya generalization kwa kanisa zima lenye mamilioni ya watu,hiyo sio hekima,bali unreasonable doubt.
 
Huu ni uzi wa 5 ambao unahusisha na hiyo kwaya so lazima kutakuwa na kitu sio jambo la kupuuza
Kabisa Mkuu me pia ni muadventista kama kuna hitilafu iangaziwe,iondolewe na isafishwe,kulea na kutaka kuficha mambo ya kipuuzi kisa tu yanagusa moja kwa moja imani au dhehebu letu,hailifanyi kuwa safi bali inalifanya kuwa nyumba ya maovu na machukizo,sio kwa watu tu hata mbele za M.Mungu.
 
Ntasoma kesho nikiwa safarini maana umegusa penyewe. Ila uzinzi unaofanywa na wanakwaya umekithiri
 
Hii ni majungu 100%.
Kama umeona wivu kaanzishe kundi lako.
Huko kanisani kwenu hakuna utaratibu wa kushughulikia malalamiko kama haya? Kalalamike kanisani kwenu huko.
Wivu tu.
 
Ndiyo mimi hasa kama hujui nijue!

Usihukumu usije hukumiwa. tulikutoa sababu ni mzembe, huna nidhamu wivu mwingi,
 
Ntasoma kesho nikiwa safarini maana umegusa penyewe. Ila uzinzi unaofanywa na wanakwaya umekithiri
Ni sehemu ya maisha wewe ulipatikanaje km watu hawakukumbatiana, tena some times kwenye mnazi. wakafanya huo uzinzi, wanakwaya nyie pigeni mambo tuwe wengi.
 
Hii ni majungu 100%.
Kama umeona wivu kaanzishe kundi lako.
Huko kanisani kwenu hakuna utaratibu wa kushughulikia malalamiko kama haya? Kalalamike kanisani kwenu huko.
Wivu tu.

Mnalea mauchafu kwa upenzi wa kijinga, ww kama kanisa lenu linachafuliwa take action ili liwe safi sio kwa kujifanya unaongea ujinga
 
Hii ni majungu 100%.
Kama umeona wivu kaanzishe kundi lako.
Huko kanisani kwenu hakuna utaratibu wa kushughulikia malalamiko kama haya? Kalalamike kanisani kwenu huko.
Wivu tu.

Mm nina picha mpaka conversion za huyo Mwalimu wenu, sasa ww unasema majungu 100% lete fact
 
Mm nina picha mpaka conversion za huyo Mwalimu wenu, sasa ww unasema majungu 100% lete fact
Kama wewe ni Mkristo kweli na umeona ndugu zako katika BWANA wanakosea mahala....je neno kama lilivyoelezwa na Yesu, halisemi ..."...enenda ukamuone" yaani badala ya kukimbilia hapa mitandaoni ulipaswa ujaribu kumuona mmoja wa viongozi wao.

Ujaribu kuwaeleza mabaya yao na kuwaonesha njia nzuri. Na pia inazidi kusema kuwa kama akikataa mtafute mtu mwingine uende naye mkajaribu kuwashauri....wakikataa, lihusishe kanisa, lijaribu kuwashauri. Nadhani wewe hujafata hatua zote hizo.

Unadhani kwa kuwaandika mtandaoni utakuwa umewasaidia? Hao Lightbearers ni ndugu zako ktk BWANA. Infact hapo kanisani kwenu nadhani mnazo namna za kuwasilisha madukuduku yenu. Hili la kuja hapo halikupaswa kuwa first priority.
 
Tempus Fugit,

I think mwenye huu uzi yy ana hoja zake za msingi so tusimpuuze, even though wazo lako ni jema pia
 
Kwa ufahamu wangu mdogo kuhusu mambo ya kwaya, kwaya zote (japo sio nyingi sana) nilizowahi kuzijua ni kwamba suala la kupigana miti ni moja ya kanuni iliyo wazi.... mnaweza kumshambulia huyu mjumbe kwa vile tu pengine hamtaki kusikia hizi habari.

Ukiwa na mkeo/mumeo mwanakwaya huu ni ukweli mchungu sana, hata hizi habari za makambi sijui mikutano miti inatandazwa kama waida.... hatuishi kwenye dunia ya tofauti na hii kiasi cha kushangaa mambo haya.

Mleta mada kakiri hapo aya ya mwisho kuwa ni mwathirika wa hizo kitu, huenda ameliwa mkewe au amepigwa chini kujiunga au vyovyote.... uwasilishaji wake huenda ndo unafanya watu wahisi ni wivu tu ila hoja yake si ya kubezwa.


Usiku utapokwisha.
 
Vizuri kwa kufichua maovu, hasa hasa ya kanisa zima la Wasabato, kanisa hilo ni la kukimbiwa, hiyo kwaya naifananisha na Golden Gate ya Uganda, waimbaji wake walikuwa wanatombana sana hadi wote wakafa kwa Ukimwi wa enzi hizo

IMG_0883.JPG
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom