Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 7,973
- 13,647
Kuna Mkuu anawasema Wasabato sijui matapeli si kweli Sabato ni kanisa kama makanisa mengine udhaifu wa mtu au kikundi haimaanishi ni udhaifu wa kanisa
Tuheshimu imani za watu
** hii kwaya hawaimbi vizuri kihivyooooo wapo sana kwa Instagram sijawaona kwa youtube
Huwa najiuliza hawa waimbaji wana kazi kweli kutwa wapo njiani
Si kila uimbaji ni uimbaji wa kumtukuza Mungu kuna wengine wapo kibinafsi zaidi
**swali kwa mtoa mada ina maana kila Kwaya nchini inapaswa kusajiliwa sio kanisa ndio linasajiliwa mie sijaelewa hapo!
****Mwimbieni Bwana......