Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

View attachment 3111623View attachment 3111623naona kwa sasa CHADEMA mmechanganyikiwa kabisa na kupoteza uwezo wa kufikiri kabisa.

Mama yetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ndiye aliyefanikisha Ushindi wa Dkt Tulia Ackson Mwansasu kuwa RAIS wa umoja wa Mabunge Duniani.

Ni mama yetu Mpendwa na Nyota ya Matumaini na shujaa wetu Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan aliyefanikisha Ushindi wa Dkt Faustine Ndugulile kuwa mkurugenzi Mkuu wa shirika la Afya Duniani kanda ya Afrika. Bila Rais Samia hakuna ambaye angeshinda katika wagombea wote hao.

Rais Samia akikuwekea mkono wake na kukupatia baraka zake ni lazima upite tu.Mama anakubalika ndani na nje ya Nchi View attachment 3111625
View attachment 3111622
Chawa kwenye moja na mbili
 
Kwanini muwasukumizie mzigo wasanii wa kukemea? Wakulima, walimu, wanasheria, madaktari wao mbona hamuwasemi?
Umewahi kwenda kwa Daktari akakwambia mitano tena? Yeye siyo mwanasiasa ndiyo maana hawezi kukwambia mambo ya Siasa. Lakini akiwa kapata ujio wa Rais hapo hana budi kumsifia Rais na ni sawa kwa sababu yukl kwenye siasa the same Zuchu akiwa kwenye kampeni za Siasa ni sawa kusema mitano tena lakini si sawa kama yuko kwenye tamasha la burudani
 
Alileta siasa ndiyo, haujamuona kuanzia mavazi, halafu invester Tulia Akson, kama siyo siasa ni nini?
Kama ukichunguza kwa makini watu wanaoenda kwenye hayo matamasha kiasi wanajitambua, so wanajua jinsi gani waliporwa haki zao na CCM kwenye uchaguzi uliopita. Maana wafuasi wa CCM wengi hawana ufahamu au kusema waende kwenye matamasha, sasa wengi ni upinzani then wewe unaleta habari za mitano tena
 
Umewahi kwenda kwa Daktari akakwambia mitano tena? Yeye siyo mwanasiasa ndiyo maana hawezi kukwambia mambo ya Siasa. Lakini akiwa kapata ujio wa Rais hapo hana budi kumsifia Rais na ni sawa kwa sababu yukl kwenye siasa the same Zuchu akiwa kwenye kampeni za Siasa ni sawa kusema mitano tena lakini si sawa kama yuko kwenye tamasha la burudani
Una uhakika na mfano ulioutoa?
 
Siendi nasema siendi
Katuma ya kutolea lakini siendi
X2

Piga machupa mabaharia hawapendi ujinga unawafundisha nini hawa mamanzi huku, shusha hii tuletee Shoro Mwamba aturushe na Singeli
Screenshot_20241001-160832.png
 
DJ zima huo mziki wa Zuchu analalamika muda wote siendi siendi mbele ya wanaume haya sasa utuwekee Dulla Makabila - Huajaulamba (Utatoa Hutoi)

Zima mziki
 
Back
Top Bottom