Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Nenda kaseme kwa mamaKwahiyo mimi kuwa chawa ndio wewe unashindwa kuitoa ccm? pigeni mawe polisi wa ccm acheni kuleta ubabe mavi kwa mtoto wa kike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kaseme kwa mamaKwahiyo mimi kuwa chawa ndio wewe unashindwa kuitoa ccm? pigeni mawe polisi wa ccm acheni kuleta ubabe mavi kwa mtoto wa kike
Haya basi Mtoto wa Shule , tema tumpige😃Kwanini muwasukumizie mzigo wasanii wa kukemea? Wakulima, walimu, wanasheria, madaktari wao mbona hamuwasemi?
Kwanza Pdidy hana mke acha kumsingiziaMkuu haumjui mke wa P. Didy, upo dunia gani?
Kila mtu anamjua mke wa P. Didy wa Bongo ni nani😄😄😜😜
Mwanamke akimkosea mwanaume hachekewi......nawazo yako yanaweza mpeleka Zuchu shimoni kabisa.....wanaume kumrushia chupa mwanamke ni jambo la hovyo sana, Zuchu ni mwanamke zile reaction ni kawaida
Dah mkuu, upo dunia gani lakini?Kwanza Pdidy hana mke acha kumsingizia
Wamelipa alaf wanataka mke wa Did aimbe...Wanyakyusa wana dharau sana kwa kweli.. wao hawakua na shda ya kuimbiwa ila kuonyesha wao ni naniYe kawaita wahuni nao wamemuonyesha uhuni,
Eti wangemuacha afanye kazi then badae wangeonyesha hisia zao braza hizo hisia baki nazo wewe,
Pdidy na bongo wapi na wapi acha kunipanga mkuuDah mkuu, upo dunia gani lakini?
Hana mke lakini ana 'mke' bongo, mbona mgumu sana kuelewa hata ukitafuniwa?
management haiwezi poteza muda na watu ambao wameshindwa kuitoa ccm, wanamaliza hasira zao kwa ZuchuMwanamke akimkosea mwanaume hachekewi......nawazo yako yanaweza mpeleka Zuchu shimoni kabisa.....
Ni muda muafaka wa Zuchu, management yake, marafiki wa karibu, mama na ndugu zake wamfunze adabu, wasisubili afunzwe adabu na walimwengu.
Mama anaongoza nchi, wewe kaandamane utembelee magongoNenda kaseme kwa mama
Hujui kuwa wanasiasa ndio waongoza nchi? wao ndio wameshika kila kitu hawezi kuwaacha, hasira za kuongozwa na ccm kama mizoga msizilete kwa mtoto wa kikeKama anaipenda sana siasa aachane na muziki, Mitano tena nyoro yako.
Hamna mnachofanya njoo unipigeMama anaongoza nchi, wewe kaandamane utembelee magongo
Tuliza mshono wewe, hata wewe ukileta habari za mitano tena lazima upigwe mawe na kurushiwa kinyesi.Hujui kuwa wanasiasa ndio waongoza nchi? wao ndio wameshika kila kitu hawezi kuwaacha, hasira za kuongozwa na ccm kama mizoga msizilete kwa mtoto wa kike
Hana mke sijakataa, baadaye ukifuatilia shobo iliyoenea mtandaoni siku za karibuni kuhusu wanamuziki flani wa bongo ndiyo utaelewa nilichomaanisha.Pdidy na bongo wapi na wapi acha kunipanga mkuu
Kwahiyo ukirusha kinyesi ndio ccm inakuwa imeondoka madarakani?acheni akili fupi pambaneni na ccm sio ZuchuTuliza mshono wewe, hata wewe ukileta habari za mitano tena lazima upigwe mawe na kurushiwa kinyesi.
Ccm iko madarakani haiwezi angaika na waoga kama wewe, defender moja mnakimbia kama PanyaHamna mnachofanya njoo unipige
So unataka kumaanisha ameoa mwanamziki wa bongo si ndio? Hiyo ndoa ilifanyika lini na wapi kiasi ambacho iwe siri? Na huyo mwanamziki ni nani?Hana mke sijakataa, baadaye ukifuatilia shobo iliyoenea mtandaoni siku za karibuni kuhusu wanamuziki flani wa bongo ndiyo utaelewa nilichomaanisha.
Mkuu hiyo 'kodi' nilikupa lakini hauwezi kuifungua, basi.So unataka kumaanisha ameoa mwanamziki wa bongo si ndio? Hiyo ndoa ilifanyika lini na wapi kiasi ambacho iwe siri? Na huyo mwanamziki ni nani?
Ukitaka upopolewe mawe pita mtaani useme mitano tenaMitano Tena'. Imekuwa sumu mtaani!
Mkuu kwani hujui kuwa hapa bongo kuna mke wa P didy? Au uko nyuma ya wakati mpaka mbeya wanajua ila wewe huna habariKasema, wao walikuja kumtazama mke wa P Diddy. Sasa mke wa P Diddy na tamasha na Wasafi wapi na wapi? Mbeya nao bwana.
Kwa mtazamo wangu, I think Mbeya wanatakiwa kwenda kina Ney wa Mitego, Roma na Rostam group; hao ndio wataelewana nao