Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

wanaume kumrushia chupa mwanamke ni jambo la hovyo sana, Zuchu ni mwanamke zile reaction ni kawaida
Mwanamke akimkosea mwanaume hachekewi......nawazo yako yanaweza mpeleka Zuchu shimoni kabisa.....

Ni muda muafaka wa Zuchu, management yake, marafiki wa karibu, mama na ndugu zake wamfunze adabu, wasisubili afunzwe adabu na walimwengu.
 
Ye kawaita wahuni nao wamemuonyesha uhuni,

Eti wangemuacha afanye kazi then badae wangeonyesha hisia zao braza hizo hisia baki nazo wewe,
Wamelipa alaf wanataka mke wa Did aimbe...Wanyakyusa wana dharau sana kwa kweli.. wao hawakua na shda ya kuimbiwa ila kuonyesha wao ni nani
 
Mwanamke akimkosea mwanaume hachekewi......nawazo yako yanaweza mpeleka Zuchu shimoni kabisa.....

Ni muda muafaka wa Zuchu, management yake, marafiki wa karibu, mama na ndugu zake wamfunze adabu, wasisubili afunzwe adabu na walimwengu.
management haiwezi poteza muda na watu ambao wameshindwa kuitoa ccm, wanamaliza hasira zao kwa Zuchu
 
Kama anaipenda sana siasa aachane na muziki, Mitano tena nyoro yako.
Hujui kuwa wanasiasa ndio waongoza nchi? wao ndio wameshika kila kitu hawezi kuwaacha, hasira za kuongozwa na ccm kama mizoga msizilete kwa mtoto wa kike
 
Hujui kuwa wanasiasa ndio waongoza nchi? wao ndio wameshika kila kitu hawezi kuwaacha, hasira za kuongozwa na ccm kama mizoga msizilete kwa mtoto wa kike
Tuliza mshono wewe, hata wewe ukileta habari za mitano tena lazima upigwe mawe na kurushiwa kinyesi.
 
Tuliza mshono wewe, hata wewe ukileta habari za mitano tena lazima upigwe mawe na kurushiwa kinyesi.
Kwahiyo ukirusha kinyesi ndio ccm inakuwa imeondoka madarakani?acheni akili fupi pambaneni na ccm sio Zuchu
 
Hana mke sijakataa, baadaye ukifuatilia shobo iliyoenea mtandaoni siku za karibuni kuhusu wanamuziki flani wa bongo ndiyo utaelewa nilichomaanisha.
So unataka kumaanisha ameoa mwanamziki wa bongo si ndio? Hiyo ndoa ilifanyika lini na wapi kiasi ambacho iwe siri? Na huyo mwanamziki ni nani?
 
So unataka kumaanisha ameoa mwanamziki wa bongo si ndio? Hiyo ndoa ilifanyika lini na wapi kiasi ambacho iwe siri? Na huyo mwanamziki ni nani?
Mkuu hiyo 'kodi' nilikupa lakini hauwezi kuifungua, basi.

Lakini ipo siku utakuja kuielewa pole pole, kisha utaunganisha dots.
 
Kasema, wao walikuja kumtazama mke wa P Diddy. Sasa mke wa P Diddy na tamasha na Wasafi wapi na wapi? Mbeya nao bwana.

Kwa mtazamo wangu, I think Mbeya wanatakiwa kwenda kina Ney wa Mitego, Roma na Rostam group; hao ndio wataelewana nao
Mkuu kwani hujui kuwa hapa bongo kuna mke wa P didy? Au uko nyuma ya wakati mpaka mbeya wanajua ila wewe huna habari
 
Back
Top Bottom