Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

Tuliowalaumu wana mbeya kweli tulikosea.

Watu wa mbeya pamoja na tofauti zao hua wanaheshima na wanawakarimu wageni kikubwa usiwadharau tu.

Ukiwadharau watarudisha dharau na ukiwaheshimu watarudisha heshima.

Kilichotokea ndio kama hicho , kumbe aliwaanza na wao wakajibu mapigo.

Watu washajivutia cha south na malawi, washapiga zao master , michongo doksi imegoma akienda isyonje haelewi, akishuka mbalizi hajui afanye nini.

Akibeba zaga za tunduma kidogo anafukuzwa kama shetani.

Kauza mahindi NFRA hela hajalipwa , Usangu kwenye mpunga kafukuzwa kwamba ni hifadhi halafu umletee dharau unadhani itakuaje mbele ya safari.
 
Tuliowalaumu wana mbeya kweli tulikosea ,
Watu wa mbeya pamoja na tofauti zao hua wanaheshima na wanawakarimu wageni kikubwa usiwadharau tu,
Ukiwadharau watarudisha dharau na ukiwaheshimu watarudisha heshima,
Kilichotokea ndio kama hicho , kumbe aliwaanza na wao wakajibu mapigo,
Watu washajivutia cha south na malawi, washapiga zao master , michongo doksi imegoma akienda isyonje haelewi, akishuka mbalizi hajui afanye nini,
Akibeba zaga za tunduma kidogo anafukuzwa kama shetani ,
Kauza mahindi NFRA hela hajalipwa , Usangu kwenye mpunga kafukuzwa kwamba ni hifadhi halafu umletee dharau unadhani itakuaje mbele ya safari,
Kweli kabisa alafu ukicheki tumeuza kahawa AMCOS hela hawajeweka huu mwezi wa nne lazima ukileta ujinga tunakuletea undava Kaka mkubwa
 
Watu wa mbeya wakarimu sana
Ila dharau huwa hawapendi!
Mbeya nimeishi na kusoma hapo
Moja ya mikoa iliyonikomaza na kunijenga

Ova
Kabisa kwenye hustle kama hujawahi kupita mbeya bado hujafuzu
 
ALIKOSEA ,Alipaswa atambue haya;

Mosi, Wafuasi wake ni WA vyama vyote. Hivyo ukizungumzia chama chako lazima utapata upinzani kutoka upande mwingine.

Pili,Mkusanyiko ule haukuwa wa kichama,Hivyo watu walilipia siyo kuja kusikia kampeni za chama chake Bali walilipia kuja kusikiliza na kuburudika muziki.

Tatu,Iwapo angetaka kukupigia kampeni chama chake basi, Angeandaa konset maalum na kulitangaza kuwa litakuwa ni kwa ajili ya kampeni ya mama ili wanaotaka kumsikiliza waende.

Nne,Au angehudhuria mikutano ya chama chake na kutoa burudani huko na kusema mitano tena.Naimani hata fujo asingefanyiwa.


Wasanii mjifunze kucheza na mood za washabiki wenu vinginevyo mtakuja kusababisha maafa na fujo zisi,o za lazima.

Na ninyi. Washabiki mgeweza kumpuuza na kuendelea na burudani yenu.

KWaandaji muwe mbawafunza wsaniii wasizungumzie Siasa kwenye majukwaa Yao ya muziki yasiyohusiana na chama.

Ni Mimi ndugu yenu Kashishi Yetu.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Back
Top Bottom