Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

Matokeo ya kuchanganya sanaa na siasa, msiyakimbie.
Yapokelewe kama zinavyo pokelewa posho
Wasanii wanafiki sana , kuimbia ushoga ndo wanajuwa , kukemea utekwaj na mauaji ya mashabiki zao ahh
 
Kikubwa wamempa picha kuwa hawamkubali, unadhani ye zuchu itamuathiri kiasi gani kisaikolojia? Yani kwa tafsiri ya haraka ni hawamtaki ye ni takataka, yani upande jukwaani nusu uchi ujinengulishe watu wakukatae bado wakurushie takataka halafu useme hamna hasara kwa msanii husika???
Hasira za Mama mna mletea Zuchu
 
Video inaonesha Zuchu akirushiwa chupa na wakurungwa. Hawataki aendelee naye aamua kuzila kurusha mic na kuondoka.

Wanaonekana wamechafukwa sana. Mbaya zaidi kuna mwimbaji ambaye alikuja lalamika kuwa jamaa wa huko ni wajeuri hawataki kuimbishwa. Wanasikika wakisema wanamtaka mke wa P.Diddy. Hawa ni wendawazimu yaani mke wa P.Diddy aje kuperform Tanzania? tena Mbeya? hawapo serious. kesho na keshokutwa watakuja kudai apelekwe Mke wa Dr. Dre au wa Jay Z au hata mke wa Justin Timberlake.

View attachment 3110354
Wasanii wanafiki sana , kuimbia ushoga ndo wanajuwa , kukemea utekwaj na mauaji ya mashabiki zao ahh
 
Kizimkazi ajitathimini.zuchu kapigwa sababu ya kusema mama mitano tena.chawa wa kizimkazi mjue kuwa watanzania hawataki huyo kizimkazi wenu
 
Back
Top Bottom