Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

Mkuu hiyo 'kodi' nilikupa lakini hauwezi kuifungua, basi.

Lakini ipo siku utakuja kuielewa pole pole, kisha utaunganisha dots.
We zungumza tu Id zetu zenyewe tu ni fake sijui sasa hapo unaficha nini
 
Chawa kwenye moja na mbili
 
Kwanini muwasukumizie mzigo wasanii wa kukemea? Wakulima, walimu, wanasheria, madaktari wao mbona hamuwasemi?
Umewahi kwenda kwa Daktari akakwambia mitano tena? Yeye siyo mwanasiasa ndiyo maana hawezi kukwambia mambo ya Siasa. Lakini akiwa kapata ujio wa Rais hapo hana budi kumsifia Rais na ni sawa kwa sababu yukl kwenye siasa the same Zuchu akiwa kwenye kampeni za Siasa ni sawa kusema mitano tena lakini si sawa kama yuko kwenye tamasha la burudani
 
Alileta siasa ndiyo, haujamuona kuanzia mavazi, halafu invester Tulia Akson, kama siyo siasa ni nini?
Kama ukichunguza kwa makini watu wanaoenda kwenye hayo matamasha kiasi wanajitambua, so wanajua jinsi gani waliporwa haki zao na CCM kwenye uchaguzi uliopita. Maana wafuasi wa CCM wengi hawana ufahamu au kusema waende kwenye matamasha, sasa wengi ni upinzani then wewe unaleta habari za mitano tena
 
Una uhakika na mfano ulioutoa?
 
Mkuu kwani hujui kuwa hapa bongo kuna mke wa P didy? Au uko nyuma ya wakati mpaka mbeya wanajua ila wewe huna habari
Code zingine ngumu sana kufunguka wallah; P Diddy ana mtu hapa? Watu mna siri sana, sijapenda
 
Siendi nasema siendi
Katuma ya kutolea lakini siendi
X2

Piga machupa mabaharia hawapendi ujinga unawafundisha nini hawa mamanzi huku, shusha hii tuletee Shoro Mwamba aturushe na Singeli
 
DJ zima huo mziki wa Zuchu analalamika muda wote siendi siendi mbele ya wanaume haya sasa utuwekee Dulla Makabila - Huajaulamba (Utatoa Hutoi)

Zima mziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…