ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Kama wewe humpendi usilazimishe wengine wasimpende, hata shetani ana wafuasi wake, jambo la msingi huwezi kumtoa Mama Samia madarakani kwa kumrushia Zuchu chupa, huo ni usela maviSawa, so ukiwa mwanamke ndiyo uruhusiwe kuleta mambo ya Uccm/Siasa kwenye burudani tena ukiwa nyuma ya cover ya mtu asiyependwa?
Upo sahihi mkuuKama wewe humpendi usilazimishe wengine wasimpende, hata shetani ana wafuasi wake, jambo la msingi huwezi kumtoa Mama Samia madarakani kwa kumrushia Zuchu chupa, huo ni usela mavi
Hakuna anayetaka kumtoa madarakani, huo ni mtazamo na hofu yako tu. Kama shetani ana wafuasi wake basi mkiwa kwenye vikao vya shetani huko msifuni na kumwongelea shetani. Sawa nasi tukiwa kwenye vikao vya ki Mungu tutafanya hivyo. Ila kama mko nyie watu wa shetani na sisi watu wa Mungu hapo hakuna kuleta habari za shetani wala Mungu maana kila mtu ana imani yake. The same applies kwenye siasa na burudaniKama wewe humpendi usilazimishe wengine wasimpende, hata shetani ana wafuasi wake, jambo la msingi huwezi kumtoa Mama Samia madarakani kwa kumrushia Zuchu chupa, huo ni usela mavi
Ndiyo mkuu, wewe unadhani kwanin watu wa Mbeya walikuwa wanamtaka mke wa P Diddy na tuko TanzaniaCode zingine ngumu sana kufunguka wallah; P Diddy ana mtu hapa? Watu mna siri sana, sijapenda
Sheria haimkatazi Sheikh kutangaza imani yake kwa wakristo, wala Mchungaji kutangaza imani yake kwa waislamu, kila mmoja anao uhuru wa kumtangazia mwenzie utamu wa kile anacho amini , ukiona mtu anafanya vurugu jua wazi huyo akili yake ni ndogo sana, Yesu aliwatangazia watu imani ambao hawakuwa sehemu ya imani yake lakini watu timamu walimsikiliza, ila wale wasio penda mambo mazuri walimdhihaki, Hivyo hivyo kwa wale watu wa Mbeya kutajwa mama wao inawauma nini na wao wange mtaja mtu yeyote wanao mtaka sio kumpangia Zuchu kila kitu cha kusema, Serikali ndio imetoa kibali pale ambayo ina ongozwa na Mama Samia hakuna ubaya wowote kumtaja iwe hadharani au kwa kificho, shida ni hasira zenu kwa Tulia kumpiga chini Sugu mnataka kummalizia Zuchu, sasa unajiitaje muhuni wakati unapiga makopo wanawake!!ule ni upunguani sio uhuni wala harakati, halafu sina shaka yeyote hakuna wa kumtoa Mama nchi ya waoga waoga , maana Mama kashika dola nyie mmeshika midomo tuHakuna anayetaka kumtoa madarakani, huo ni mtazamo na hofu yako tu. Kama shetani ana wafuasi wake basi mkiwa kwenye vikao vya shetani huko msifuni na kumwongelea shetani. Sawa nasi tukiwa kwenye vikao vya ki Mungu tutafanya hivyo. Ila kama mko nyie watu wa shetani na sisi watu wa Mungu hapo hakuna kuleta habari za shetani wala Mungu maana kila mtu ana imani yake. The same applies kwenye siasa na burudani
Ndiyo mkuu, au wewe umeona wapi siyo sahihi?Una uhakika na mfano ulioutoa?
Kujitambua ni kuitoa ccm madarakani sio kumpiga Zuchu machupa, maneno mengi sawa na wafuasi wa ccm tuKama ukichunguza kwa makini watu wanaoenda kwenye hayo matamasha kiasi wanajitambua, so wanajua jinsi gani waliporwa haki zao na CCM kwenye uchaguzi uliopita. Maana wafuasi wa CCM wengi hawana ufahamu au kusema waende kwenye matamasha, sasa wengi ni upinzani then wewe unaleta habari za mitano tena
Nadhani soon, wataitoa tuKujitambua ni kuitoa ccm madarakani sio kumpiga Zuchu machupa, maneno mengi sawa na wafuasi wa ccm tu
Fungus kidogo hiyo code mkuu; watu wa Mbeya wana siri nyingi sana yaaniNdiyo mkuu, wewe unadhani kwanin watu wa Mbeya walikuwa wanamtaka mke wa P Diddy na tuko Tanzania
Mkuu huu ndiyo mwisho wa code kufungukaFungus kidogo hiyo code mkuu; watu wa Mbeya wana siri nyingi sana yaani
maneno matupu yana jenga mpaka ghorofaNadhani soon, wataitoa tu
Sahihi kabisaKama walileta siasa sehemu ya burudani basi wamestahili walichokipata.