Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

Sawa, so ukiwa mwanamke ndiyo uruhusiwe kuleta mambo ya Uccm/Siasa kwenye burudani tena ukiwa nyuma ya cover ya mtu asiyependwa?
Kama wewe humpendi usilazimishe wengine wasimpende, hata shetani ana wafuasi wake, jambo la msingi huwezi kumtoa Mama Samia madarakani kwa kumrushia Zuchu chupa, huo ni usela mavi
 
Kama wewe humpendi usilazimishe wengine wasimpende, hata shetani ana wafuasi wake, jambo la msingi huwezi kumtoa Mama Samia madarakani kwa kumrushia Zuchu chupa, huo ni usela mavi
Hakuna anayetaka kumtoa madarakani, huo ni mtazamo na hofu yako tu. Kama shetani ana wafuasi wake basi mkiwa kwenye vikao vya shetani huko msifuni na kumwongelea shetani. Sawa nasi tukiwa kwenye vikao vya ki Mungu tutafanya hivyo. Ila kama mko nyie watu wa shetani na sisi watu wa Mungu hapo hakuna kuleta habari za shetani wala Mungu maana kila mtu ana imani yake. The same applies kwenye siasa na burudani
 
Sheria haimkatazi Sheikh kutangaza imani yake kwa wakristo, wala Mchungaji kutangaza imani yake kwa waislamu, kila mmoja anao uhuru wa kumtangazia mwenzie utamu wa kile anacho amini , ukiona mtu anafanya vurugu jua wazi huyo akili yake ni ndogo sana, Yesu aliwatangazia watu imani ambao hawakuwa sehemu ya imani yake lakini watu timamu walimsikiliza, ila wale wasio penda mambo mazuri walimdhihaki, Hivyo hivyo kwa wale watu wa Mbeya kutajwa mama wao inawauma nini na wao wange mtaja mtu yeyote wanao mtaka sio kumpangia Zuchu kila kitu cha kusema, Serikali ndio imetoa kibali pale ambayo ina ongozwa na Mama Samia hakuna ubaya wowote kumtaja iwe hadharani au kwa kificho, shida ni hasira zenu kwa Tulia kumpiga chini Sugu mnataka kummalizia Zuchu, sasa unajiitaje muhuni wakati unapiga makopo wanawake!!ule ni upunguani sio uhuni wala harakati, halafu sina shaka yeyote hakuna wa kumtoa Mama nchi ya waoga waoga , maana Mama kashika dola nyie mmeshika midomo tu
 
Kama ukichunguza kwa makini watu wanaoenda kwenye hayo matamasha kiasi wanajitambua, so wanajua jinsi gani waliporwa haki zao na CCM kwenye uchaguzi uliopita. Maana wafuasi wa CCM wengi hawana ufahamu au kusema waende kwenye matamasha, sasa wengi ni upinzani then wewe unaleta habari za mitano tena
Kujitambua ni kuitoa ccm madarakani sio kumpiga Zuchu machupa, maneno mengi sawa na wafuasi wa ccm tu
 
Back
Top Bottom