Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

Hapa watu wa Mbeya tutalaumiwa bure, show yenyewe ilikua ya bure hadi vitoto vidogo vinavyojifunza kuvuta ngwai vimeenda. Pale wameenda watu wa ajabu ajabu kinoma, mtu mwenye heshima zako huendi show za bure. Nilipita pembeni pale nilikua nmetoka kiwanja kingine, njiani nakutana na watu wamelewa kinoma wengine wameshika 'master', nyagi n.k we unategemea utapata nini?
 


Kweli cheap is expensive kuweka show bure ni kukosea nadhani hii kafanya Mh yule wa mjengoni
 
Nani kawalipia hiyo show?
 
Wanamtaka mke wa P Didy.

Wazimu sana mashabiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…