NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Sawa Mama Diamond,nimekuelewa.Oya tafuta hela anzisha chako alafu ajiri watangazaji wawili na wachambuzi wawili ili wafanye unavyotaka.
Pale kuna ma-master wa hicho unachokifikiri wanajua hadi wanakera na wameenda shule uje kuwakosoa wewe sijui bwana kilimo huko.