Wasafi FM wana utoto na ujinga mwingi studio

Wasafi FM wana utoto na ujinga mwingi studio

Hii kama kweli... nimeanza kupoteza interest nacho slow slow nina miezi sijasikiliza xxl but nyuma nilipokua teen kilikua hakinipiti Abadan.
Yani mkuu ndio maana watu wanakufa wadogo mno tuna chuki inayosababishwa na roho mbaya inazaa depression watu wanakufa kwa kuumwa vichwa tu.
 
kama Eddo maskin hanaga masauti ya kupayuka kama kitenge .me nilikua nataman niskilize michezo yao maana mitandaon wanajisfia ..kuja kuskia ni upuuzi mtupu wanatangaza kizamani sana mtu anakua kama anakimbizwa wajifunze kwa Alex lwambano jamaa huwezi kuta anachambua michezo ye anawapa.vitu nyie mchambue
ALEX LUAMBANO VERY VERY PROFESSIONAL NA MCHOKOZA MADA MZURI, ASIPOKUWEPO YEYE SISIKIZI MICHEZO CLOUDS...

WASAFI WALE VIJANA UMAARUFU NA KUKUBALIKA KWA GEORGE AMBANGILE...NDIO UNAWAPA KIWEWE KUTAKA NAO WAONEKANE...
 
Hivi vipindi vyao kila mtu akiwepo studio ana control ya Mixer, yaani ni kelele na vurugu tu studio.

Warekebishe huu.

Mtu kipindi cha michezo yupo MWANAIDI SULEIMAN (Mtangazaji)
Paul Mkai (Mtangazaji)
Kawambwa (Mtangazaji)

Sasa who is the main controller hapo. Kila mmoja wao anaongea tu anaingilia mwenzake tu, mradi fujo tu.

Kwa mfano, muda huu kuna kelele zilikuwa studio. Sijui hawa wanapataje access ya kuingia studio na kufanya vurugu hivi?

Mbona Clouds sijawahi sikia.

HEBU WARUDI CHINI MANAGEMENT WATAFAKARI THEIR BASICS.

WATADHARAULIKA KWA KWELI.

Utoto + sifa na kujiselfie na wanawake kisha unajipost mitandaoni, ni ushamba tu. Baadhi yao wanajitambua

Kwangu mimi RFA ndio the best radio station in Tanzania and all east Africans.
 
Wewe kama unataka uzee Radio one, TBC na RFA huzijui frequency zake nikusaidie?

Sports Arena ya Wasafi Fm ina watangazaji ambao si wachambuzi wasiopungua watano
1. Paul Mkai (anakuwa kiongozi wa vipindi weekend)
2. Ahmed ni kiongozi wa kipindi baada ya Kitenge.
3. Kitenge ndiye boss wa hivyo vipindi vya sports.
4. Kawambwa ametoka UFM na alikuwa anaendesha kipindi cha michezo pale japo ana uwezo mkubwa wa kuchambua pia.
5. Mwanaidi huyu mnyaturu ni mtangazaji pia anafanya alichokuwa anakifanya EFM role yake ni ileile.
6. Mkule Aboubakari huyu naye ni mtangazaji anasaidiana na Mkai.

Unasema hakuna controller wa Vinasa hauko serious wewe, tizama YouTube channel yao uone ni nani anakaa upande wa control na sio unabwata tu.

Nani kakuambia RFA ya kizee? Kuna radio gani in east Africans inayoifikia RFA?

RFA ndio baba lao,, je unawakumbuka hawa?
RFA
Baruan Muhuza
Gabriel Zacharia
Maregesi Gilsian
Rahabu Fredy
Sandu G (Kid bwoy)
Sam David Kiama (Uncle Sam)
Fredrick Bundala (sky walker)
Fredy fidelis (fredwaa)
Juma Ahmed Baragaza
Glory Robinson
Godwin Gondwe (double G)
Tryphone Anselm (Soggy Dogg)
DJ John
Prince Baina Kamukulu RIP
Zuberi Msabaha RIP
Godfrey Kusolwa (Godman)
Deborah Mpangama
Beatrice Rabachi
ONGEZA LIST.....

KISS FM

Irene Tillya
Yunus Karsan
John Karan
Steve Kabuye (Steve Kafire)
Claudia Mayanka
Tobby Chewe
Chris Mark
Dj Jeff Jerry
Dj Aleco
Dee seven
Ezden Jumanne
Ongeza list

Kwa kifupi hizi redio mbili RFA na KISS FM palikuwa ni chuo cha hujifunzia na ilikuwa ndoto ya wengi kwenda kufanya kazi hapo.

Viredio vyenu hivyo vya kitoto msivilinganishe na RFA/KISS FM.
 
Wewe kama unataka uzee Radio one, TBC na RFA huzijui frequency zake nikusaidie?

Sports Arena ya Wasafi Fm ina watangazaji ambao si wachambuzi wasiopungua watano
1. Paul Mkai (anakuwa kiongozi wa vipindi weekend)
2. Ahmed ni kiongozi wa kipindi baada ya Kitenge.
3. Kitenge ndiye boss wa hivyo vipindi vya sports.
4. Kawambwa ametoka UFM na alikuwa anaendesha kipindi cha michezo pale japo ana uwezo mkubwa wa kuchambua pia.
5. Mwanaidi huyu mnyaturu ni mtangazaji pia anafanya alichokuwa anakifanya EFM role yake ni ileile.
6. Mkule Aboubakari huyu naye ni mtangazaji anasaidiana na Mkai.

Unasema hakuna controller wa Vinasa hauko serious wewe, tizama YouTube channel yao uone ni nani anakaa upande wa control na sio unabwata tu.
Muambie hao Clouds wanarekodi simu mchana halafu wanajifanya ndo zimepigwa kwenye vipindi vya usiku. Yaani wale jamaa bure kabisa.
 
All in all hata jamii inachangia wao kuwa hivyo...kwa maana ya watu walio wengi kupenda mambo ya kipuuzi, kiutopolo n.k... Kwa hiyo wanachofanya ni ku reflect kilichopo huku ground [emoji847][emoji847][emoji4]..ila pia professionalism haizingatiwi Sana kwenye hizi so called radio stations zinazochipuka
 
Kweli kabisa. Wanachukuana tu.....sasa King'wendu naye mtangazaji.
 
Oya tafuta hela anzisha chako alafu ajiri watangazaji wawili na wachambuzi wawili ili wafanye unavyotaka.

Pale kuna ma-master wa hicho unachokifikiri wanajua hadi wanakera na wameenda shule uje kuwakosoa wewe sijui bwana kilimo huko.
Utoto raha.Na we nawe ni great thinker.
 
Hawapeani muda wa kuongea...kama clouds tu. Radio nzuri kwa sports kwangu mimi ni EA radio....na ufm at least wametulia sana. Wasafi kipindi cha gosper wanajitahd sana masanja na team yake.
 
Oya tafuta hela anzisha chako alafu ajiri watangazaji wawili na wachambuzi wawili ili wafanye unavyotaka.

Pale kuna ma-master wa hicho unachokifikiri wanajua hadi wanakera na wameenda shule uje kuwakosoa wewe sijui bwana kilimo huko.
Kwahiyo mtu akitoa maoni au malamiko kuhusu jambo au kitu fulani inabidi aanze chake?

Akilalamika kuhusu shule itabidi aanzishe shule yake?

Akilalamika kuhusu barabara mbovu itabidi ajenge barabara yake?
Akilalamika kuhusu huduma za hospitali itabidi ajenge hospitali yake?
Akilalamika kuhusu uwanja wa ndege itabidi ajenge uwanja wake wa ndege?
Akilalamika kuhusu Jamii Forum itabidi aanzishe JamiiForum yake?

Huwa mnafikiri sawasawa?
 
Hawapeani muda wa kuongea...kama clouds tu. Radio nzuri kwa sports kwangu mimi ni EA radio....na ufm at least wametulia sana. Wasafi kipindi cha gosper wanajitahd sana masanja na team yake.
Aisee kuna siku nilikua nasikiliza michezo radio East Africa mpaka unachukia hawapeani nafasi ya kuongea,
 
Back
Top Bottom