Wasafi FM wana utoto na ujinga mwingi studio

Umepata muda wa kusikiliza na bado umepata muda pia kuandika hapa wakati huo huo umekereka hebu hizo nguvu za kufanya yote hayo hamishia kwenye kutafuta hela.
 
Hii radio imenishinda watangazaji hawapeani nafasi ya kuzungumza hasa kipindi cha kina Baba levo ni makelele tu
Ety kila kitu anachoongea Baba levo...wanajichekesha wala hakichekeshi...

Akitokea baba levo hayupo kipindi kinatulia...
 
Karibu efm mkuu hutojuta !

Kina geof, Oscar, maestro n.k ! Mpira unachambulika kwa staha, bila unazi Wala ushabiki maandazi !
Hao wengine wapiga ramli tu
Hao Efm tatizo singeli nyingi....kuliko michezo yenyewe .....zaidi ya hapo wapo vizuri tu.
 
Ninejaribu kutafuta radio yenye fleva tofauti na clouds nimekosa, nimeamua kubaki chama la wana clouds, naenda wasafi one time kwenye sport arena, bt now wameshaanza kuniboa. Watangazaji wa sports arena wana unazi na timu zao, uchambuzi wao una favour pande wanazozipenda. Hii kitu itanikimbiza mazima.
 
Kwani clouds hawana unazi?
 
Halafu waongeze bass kwenye microphones zao. Yaani sauti zinatoka hazina nguvu kabisa. Lingine ni hilo la kula mtu kuongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…