WTF is that word Kiboyer mean?Swali la kiboyer, dunia ya Internet unauliza swali la hivo ?!
Swali hilo lilitoka kwenye huu upuuzi wako.Badilikeni, hasa wewe kitenge. Mm huwa nasikiliza Mawingu nikijichanganya EA radio.
Ila sio nyie wachambuz maandazi.
Tanzania tuna tabia ya unafiki Kama kitu upendezi nacho unafuatilia niniWTF is that word Kiboyer mean?
Swali hilo lilitoka kwenye huu upuuzi wako.
Husikilizi Wasafi wewe ni msikilizaji wa Clouds na EA radio basi ya Wasafi umeyajuaje?
Wabongo nyie wapumbavu sana unafiki umewajaa, uchawi na roho mbaya ndio zenu.
Tafuta hela wewe ukafungue chako ufanye unayoyataka masikini mkubwa wewe
Asipokuwepo baba levo kipindi kinakuwa kitamu mno...Jamaa wanajitahid shida baba levo anazingua sana jamaa mbishi na anachobishia hakina maana, hataki kuwaachia wenzake nafasi ya kuongea kifupi baadhi ya siku anaboa sana
Fresh tu hata hivyo hii redio sio ya vikongwe kama wewe kwa hiyo kaa kushoto vijana tupite hiviRadio ya wasafi ni ya kipuuzi mno....ni ya kitoto sana na ndiyo maana wengi wanaoisikiliza ni watoto na vijana ambao hawajabalehe.
Badala ya kufuatilia uko TBC anakuja kutupigia kelele humuFresh tu hata hivyo hii redio sio ya vikongwe kama wewe kwa hiyo kaa kushoto vijana tupite hivi
Still badoStill bado mnaendelea kuwasikiliza!
Kila mtangazaji anataka aonekane yeye ndio mchambuzi zaidiHivi vipindi vyao kila mtu akiwepo studio ana control ya Mixer, yaani ni kelele na vurugu tu studio.
Warekebishe huu.
Mtu kipindi cha michezo yupo MWANAIDI SULEIMAN (Mtangazaji)
Paul Mkai (Mtangazaji)
Kawambwa (Mtangazaji)
Sasa who is the main controller hapo. Kila mmoja wao anaongea tu anaingilia mwenzake tu, mradi fujo tu.
Kwa mfano, muda huu kuna kelele zilikuwa studio. Sijui hawa wanapataje access ya kuingia studio na kufanya vurugu hivi?
Mbona Clouds sijawahi sikia.
HEBU WARUDI CHINI MANAGEMENT WATAFAKARI THEIR BASICS.
WATADHARAULIKA KWA KWELI.
milion 5 kwa mweziHivi mtangazaji wanalipwa sh ngapi kwa mfano hasahasa hawa wa michezo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]au Uhuru FM.Sikiliza RFA
Kitenge haendi na wakati tu, utamsikia eti akichambua magazeti akiwa USA mara SA. Hajui huko ni kujiinesha ulimbukeni wa kuwa sehemu hizo wakati wengi wanatembelea hizo sehemu kimya kimya.WANGEACHA KWANZA WATU WENYE UZOEFU NA KAZI ZAO KUCONTROL MAZUNGUMZO...
AHMED ABDALLAH NDIO ANAJITAHIDI...ILA MAULID KITENGE NDIO UTUMBO TU...
Kweli?milion 5 kwa mwezi
Tofauti ni muda mkuu.Redio ziko nyingi chaguo moja..nyingine za kishamba waachie walughalugha
Sasa ndio roho ikuume yeye kuanzisha stations zinazolenga vijana wadogo?Diamond jau sana yeye mwenyewe mtoto
kama Eddo maskin hanaga masauti ya kupayuka kama kitenge .me nilikua nataman niskilize michezo yao maana mitandaon wanajisfia ..kuja kuskia ni upuuzi mtupu wanatangaza kizamani sana mtu anakua kama anakimbizwa wajifunze kwa Alex lwambano jamaa huwezi kuta anachambua michezo ye anawapa.vitu nyie mchambueHivi vipindi vyao kila mtu akiwepo studio ana control ya Mixer, yaani ni kelele na vurugu tu studio.
Warekebishe huu.
Mtu kipindi cha michezo yupo MWANAIDI SULEIMAN (Mtangazaji)
Paul Mkai (Mtangazaji)
Kawambwa (Mtangazaji)
Sasa who is the main controller hapo. Kila mmoja wao anaongea tu anaingilia mwenzake tu, mradi fujo tu.
Kwa mfano, muda huu kuna kelele zilikuwa studio. Sijui hawa wanapataje access ya kuingia studio na kufanya vurugu hivi?
Mbona Clouds sijawahi sikia.
HEBU WARUDI CHINI MANAGEMENT WATAFAKARI THEIR BASICS.
WATADHARAULIKA KWA KWELI.
Hii kama kweli... nimeanza kupoteza interest nacho slow slow nina miezi sijasikiliza xxl but nyuma nilipokua teen kilikua hakinipiti Abadan.Sasa ndio roho ikuume yeye kuanzisha stations zinazolenga vijana wadogo?
Una habari kipindi cha XXL kinalenga watu walio na umri wa miaka 16 - 28 tu? Aisee mauzee yenu pelekeni TBC Taifa