Wasafi FM wana utoto na ujinga mwingi studio

Hii kama kweli... nimeanza kupoteza interest nacho slow slow nina miezi sijasikiliza xxl but nyuma nilipokua teen kilikua hakinipiti Abadan.
Yani mkuu ndio maana watu wanakufa wadogo mno tuna chuki inayosababishwa na roho mbaya inazaa depression watu wanakufa kwa kuumwa vichwa tu.
 
ALEX LUAMBANO VERY VERY PROFESSIONAL NA MCHOKOZA MADA MZURI, ASIPOKUWEPO YEYE SISIKIZI MICHEZO CLOUDS...

WASAFI WALE VIJANA UMAARUFU NA KUKUBALIKA KWA GEORGE AMBANGILE...NDIO UNAWAPA KIWEWE KUTAKA NAO WAONEKANE...
 

Utoto + sifa na kujiselfie na wanawake kisha unajipost mitandaoni, ni ushamba tu. Baadhi yao wanajitambua


Kwangu mimi RFA ndio the best radio station in Tanzania and all east Africans.
 

Nani kakuambia RFA ya kizee? Kuna radio gani in east Africans inayoifikia RFA?

RFA ndio baba lao,, je unawakumbuka hawa?
RFA
Baruan Muhuza
Gabriel Zacharia
Maregesi Gilsian
Rahabu Fredy
Sandu G (Kid bwoy)
Sam David Kiama (Uncle Sam)
Fredrick Bundala (sky walker)
Fredy fidelis (fredwaa)
Juma Ahmed Baragaza
Glory Robinson
Godwin Gondwe (double G)
Tryphone Anselm (Soggy Dogg)
DJ John
Prince Baina Kamukulu RIP
Zuberi Msabaha RIP
Godfrey Kusolwa (Godman)
Deborah Mpangama
Beatrice Rabachi
ONGEZA LIST.....

KISS FM

Irene Tillya
Yunus Karsan
John Karan
Steve Kabuye (Steve Kafire)
Claudia Mayanka
Tobby Chewe
Chris Mark
Dj Jeff Jerry
Dj Aleco
Dee seven
Ezden Jumanne
Ongeza list

Kwa kifupi hizi redio mbili RFA na KISS FM palikuwa ni chuo cha hujifunzia na ilikuwa ndoto ya wengi kwenda kufanya kazi hapo.

Viredio vyenu hivyo vya kitoto msivilinganishe na RFA/KISS FM.
 
Muambie hao Clouds wanarekodi simu mchana halafu wanajifanya ndo zimepigwa kwenye vipindi vya usiku. Yaani wale jamaa bure kabisa.
 
All in all hata jamii inachangia wao kuwa hivyo...kwa maana ya watu walio wengi kupenda mambo ya kipuuzi, kiutopolo n.k... Kwa hiyo wanachofanya ni ku reflect kilichopo huku ground [emoji847][emoji847][emoji4]..ila pia professionalism haizingatiwi Sana kwenye hizi so called radio stations zinazochipuka
 
Kweli kabisa. Wanachukuana tu.....sasa King'wendu naye mtangazaji.
 
Labda anayeongea sana anapata mshahara mkubwa zaidi 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Oya tafuta hela anzisha chako alafu ajiri watangazaji wawili na wachambuzi wawili ili wafanye unavyotaka.

Pale kuna ma-master wa hicho unachokifikiri wanajua hadi wanakera na wameenda shule uje kuwakosoa wewe sijui bwana kilimo huko.
Utoto raha.Na we nawe ni great thinker.
 
Hawapeani muda wa kuongea...kama clouds tu. Radio nzuri kwa sports kwangu mimi ni EA radio....na ufm at least wametulia sana. Wasafi kipindi cha gosper wanajitahd sana masanja na team yake.
 
Oya tafuta hela anzisha chako alafu ajiri watangazaji wawili na wachambuzi wawili ili wafanye unavyotaka.

Pale kuna ma-master wa hicho unachokifikiri wanajua hadi wanakera na wameenda shule uje kuwakosoa wewe sijui bwana kilimo huko.
Kwahiyo mtu akitoa maoni au malamiko kuhusu jambo au kitu fulani inabidi aanze chake?

Akilalamika kuhusu shule itabidi aanzishe shule yake?

Akilalamika kuhusu barabara mbovu itabidi ajenge barabara yake?
Akilalamika kuhusu huduma za hospitali itabidi ajenge hospitali yake?
Akilalamika kuhusu uwanja wa ndege itabidi ajenge uwanja wake wa ndege?
Akilalamika kuhusu Jamii Forum itabidi aanzishe JamiiForum yake?

Huwa mnafikiri sawasawa?
 
Hawapeani muda wa kuongea...kama clouds tu. Radio nzuri kwa sports kwangu mimi ni EA radio....na ufm at least wametulia sana. Wasafi kipindi cha gosper wanajitahd sana masanja na team yake.
Aisee kuna siku nilikua nasikiliza michezo radio East Africa mpaka unachukia hawapeani nafasi ya kuongea,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…