Kwahiyo mtu akitoa maoni au malamiko kuhusu jambo au kitu fulani inabidi aanze chake?
Akilalamika kuhusu shule itabidi aanzishe shule yake?
Akilalamika kuhusu barabara mbovu itabidi ajenge barabara yake?
Akilalamika kuhusu huduma za hospitali itabidi ajenge hospitali yake?
Akilalamika kuhusu uwanja wa ndege itabidi ajenge uwanja wake wa ndege?
Akilalamika kuhusu Jamii Forum itabidi aanzishe JamiiForum yake?
Huwa mnafikiri sawasawa?