Wasafi imemkosea nini Joh Makini?

Mkuu kuna tetesi kuwa wasanii wanaoshirikiana na wasafi wanabaniwa the giant media mawingu fm..
So kuna watu wanachagua upande sio falsafa za Mwalimu na NAM
 
Hivi kwa nini huwa mnapenda kuunganisha Kilimanjaro na Arusha.Kama issue ni kaskazini mbona hata Tanga ni Kaskazini.

Best Nasso sio wa Mwanza ni wa Mara.Mwanza tuna best artistes Kama
Fid Q
Young Killer
Kala Jeremiah
Rado
Baraka da prince
Mo Music
H baba

Mziki wa youngkiller,Fid na kala hamna raper kutokea Kaskazini nzima anaweza ugusa.

Mbeya pia tuna wasanii Kama
Ay
Izzo bizness
Quick Rocka
Sugu
Shaa huyu sio wa huko Kaskazini
Rayvanny
 
Usishangae kuiacha tanga hao ni wakabila Sana... Roma aliwaambia kaskazini Bila tanga ni msondo bila gurumo..
 
Hawaitaji tanga kwasababu huko kilimanjaro na arusha ndipo wachaga walipo
 
Hawaitaji tanga kwasababu huko kilimanjaro na arusha ndipo wachaga walipo
Umesahau na Manyara nayo ipo kaskazini. Mimi nimetoa maoni yangu kwamba watu wakikujua wewe ni wa kaskazini basi mnaanza kutubagua mbona sisi fresh hatubagui mtu yoyote. Karibu Moshi ukiwa na hela hapo basi utakuwa billionaire ila kama ni kapuku hakuna atakaye kupapatikia
 
Asante kwa kunirekebisha hapo kwa Sara Kaisi.

Manyara nayo ipo kaskazini alafu arusha sio kwa wachagaa ila hapo Machame na wilaya ya Arumeru kuna muingiliano mkubwa na wachagga hasa wamachame ndo wamepasogelea sana mpaka town
 
Kwenye Ukabila Nakupa 100%
Hawa watu basi tu
 
Umemaliza mzee...
 
ONgezea hapo Barnaba, Neywamitego, Nice, Nandy etc
 
Acha awakabe tu,,
 
Tayari ninaye,see hereView attachment 1155014
Mie nimeona cha kutukana
Sipo kwa ajili ya kushindana na wewe cos silipwi ila kwa busara ambazo mungu amenipa ninakushauri usipende kuifadhi chuki kwa mtu ambaye hujawahi kumuona uso kwa uso lakini hajawahi kukufanyia kitu kibaya katika maisha yako.Ukiwa mtu wa namna hi utaishi kwa amani lakini ukimchukia mtu ambaye hajawahi kukukosea huyu akipata zaidi mafanikio yatakuumiza ukichanganya na stress za maisha yako utazidi kuumia Mara mbili na itapelekea kuzeeka kabla ya wakati wako.Huu ni ushauri wa bure mpendwa either uuchukue au uuache is up to you.
 
Nakuona upo kazini. Umependeza
 


Wewe jamaa Best nasso siyo wa Mwanza ni msanii kutoka Musoma. Mwanza tunawakilishwa na Fid q + Young killer.
 
ONgezea hapo Barnaba, Neywamitego, Nice, Nandy etc
Barnaba jina lake ni nani kumbe naye ni kaskazini moja. Mr nice naye tena ni wa huku hivi na jina lake nani vile kumbe sisi tumejaaliwa ndo maana hatunaga msanii wa Kilimanjaro kama Kilimanjaro hao wengine wakiwa na mmoja basi watamsapoti mpaka basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…