Lets Share
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 517
- 718
Mkuu kuna tetesi kuwa wasanii wanaoshirikiana na wasafi wanabaniwa the giant media mawingu fm..Anaitwa John Makini aka Mwamba Wa Kaskazini au Jay Z wa Arusha.
Huyu jamaa hataki kabisa kuwapa ushirikiano Wasafi Media. Daima anaikimbia mic ya Wasafi.
Akiitwa kwa ajili ya interview haendi.
Kufatwa hataki.
Alishakubarigi kwenda studio kwenye kipindi cha block 89 lakini dakika za mwisho akatoa udhulu.
Ni mtu anaeonekana hapendezwi na uwepo wa Wasafi.
Je ana shida gani na Wasafi?
So kuna watu wanachagua upande sio falsafa za Mwalimu na NAM