Mkurugenzi na CEO wa Wasafi media Diamond Platnumz amethibitisha leo kutakuwa na press pale Wasafi head quarter kwa kampeni inaitwa " Chuma kimeingia" .Tukio Hilo litarushwa kuanzia saa 5 Asubuhi wasafi tv, Wasafi FM na Channel yao ya YouTube Wasafi media haijulikani nikutambulisha mtangazaji mpya, kuzindua urushwaji wa Wasafi mikoani, kuzindua kipindi kipya au kuhusu wasafi tower.
Wengi wametabiri itakuwa Ni kumtambulisha mtangazaji ila kwa upande wangu naona itakuwa Ni kuzindua Wasafi FM mikoani cos diamond alishathibitisha wamepata leseni ya kurusha wasafi FM nchi nzima wiki mbili nyuma navyofikiri Mimi niivyo so watatangaza mikoa ipi wataanza kurushia vipindi Kama sehemu ya uzinduzi wa Wasafi FM nchi nzima.