Wasafi media leo watafanya tukio kubwa

Wasafi media leo watafanya tukio kubwa

Hawana jipya..... yan bila diamond hawawez kufanya chochote

komesha korona
Kauli yako ni kama ya shabiki wa mpira kwamba mshukuru sana golikipa bila yeye mngefungwa nyingi yaani kama vile vile golikipa sio sehemu ya timu.
 
Kubali tu unapenda nyuzi za Diamond

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ndio jibu alipaswa kupigia mstari kuliko kuzunguka zunguka yaani huyu mama Ni mnafiki ile mbaya kila habari inayohusiana na mondi lazima aje ila zingine anakausha wiki 2 nyuma nilipost kuhusu mke wa kiba nikasema kwangu ndio mwanamke mzuri kuliko yoyote wa star huyu mama sijaona hata comment yake hata moja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usilie basi. Nitaanza kukoment kila uzi wako unionepo.
Hilo ndio jibu alipaswa kupigia mstari kuliko kuzunguka zunguka yaani huyu mama Ni mnafiki ile mbaya kila habari inayohusiana na mondi lazima aje ila zingine anakausha wiki 2 nyuma nilipost kuhusu mke wa kiba nikasema kwangu ndio mwanamke mzuri kuliko yoyote wa star huyu mama sijaona hata comment yake hata moja.
 
Waaow kumbe huwa unaumia aiseee basi kijana wetu usilie kuanzia leo ulipo nipo yaani hata nukta ntaweka. Cheiiii naitwa mnafiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]comments zinaliza mtu uwiiii
Nilipost Uzi unahusiana na professor Jay kuhusu kupiga show na kujaza uwanja Congo nilimpongeza nakumbuka nikapata comment moja tu na like moja tu humu humu jamvini Wala sijaona comment yako hii inaonesha ampendi nyuzi za wasanii wengine hapa ndo naona unafiki wako.
 
ukitaka kujua uhalisia wa mwanadam pitia nyuz za mondi hapa ndo kuna darasa la kuwajua binadam
 
Huko kote unapita tu kukoment ila nyuzi unarundika hapa. Sasa msukule ukiweka uzi tusipojitokeza si utajinyonga jamani hivyo vumilia.tu uwepo wetu ulipo tupo kukupa sapoti wakutambue tambue kule wachafukoge klasik
nakuoa unamkazia pacha wako 😁😁🤣🤣🤣nataman siku innocent na Numbisa wakutane face to face
 
Jina lake mwenyewe ni dependent/tegemezi!
Aiseee bora mie shabiki maandazi kwenye comments ila wewe kijana umevuka mipaka kila kukicha ni nyuzi za domo. Huu uraibu ni hatari
 
Back
Top Bottom