Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikiliza utupe updates huku Burigi Radio haishiki.Haya ambao hamna kazi time to listen Radio yoo
Huna akili timamuYou see Rubish!!! clouds Fm wako mbali sana kwenye creatity ya kampeni wanazoziendesha, wasafi bado wajipange.
Good morning wanaanza kuwalipia watu bill za maji zaidi ya units elfu kumi zimetengwaSikiliza utupe updates huku Burigi Radio haishiki.
Creatity au sio 🙄You see Rubish!!! clouds Fm wako mbali sana kwenye creatity ya kampeni wanazoziendesha, wasafi bado wajipange.
Says a covidiot!Ila promo haiendani na kampeni waliyoizindua.
Jamaa wamefeli kimtindo.
Vilevile suala la kwenda na muda pia linawafelisha.
Wanahitaji Team iliyo serious sana na yenye ubunifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi hii ni habari njema.Good morning wanaanza kuwalipia watu bill za maji zaidi ya units elfu kumi zimetengwa
Team WCB tuna hela.Safi hii ni habari njema.
Please jina la dada yake innocent dependent liingizwe kwenye list walau walipiwe maji hapo nyumbani kwao.
Yes ni kweli nakubaliana na hilo.Team WCB tuna hela.
Kutoa Teza sita kwa miezi sita si mchezo