Wasafi media leo watafanya tukio kubwa

Mungu ambariki sana huyu dogo he has been such a good driver of his own life, usibweteke kila ufanyalo jione bado.
 
Jamaa kiukwel Ni very fighter na anajua kujiongeza anajua kutumia vizuri umaarufu wake ataki kufanya makosa Kama Kaka zake waliofanya wakina Mr nice,juma nature and the like
 
Una comment kuhusu mimi kwani unanijua wewe unatakiwa ujikite kwenye mada kwasababu mada haikufurahishi ndo maana ukacomment hivyo alafu ulivyokuwa ajabu unasema niwe chai wakati muda huo huo na wewe unacomment
Kuhusu mada ya tukio kubwa ni habari njema mno,
cha msingi kunywa uji ushibe maana wewe hukawii kushinda njaa kisa unasubiri tukio kubwa 🤣🤣🤣🤣
 
Una comment kuhusu mimi kwani unanijua wewe unatakiwa ujikite kwenye mada kwasababu mada haikufurahishi ndo maana ukacomment hivyo alafu ulivyokuwa ajabu unasema niwe chai wakati muda huo huo na wewe unacomment
Udingi unamsumbua huyo
 
Jamaa kiukwel Ni very fighter na anajua kujiongeza anajua kutumia vizuri umaarufu wake ataki kufanya makosa Kama Kaka zake waliofanya wakina Mr nice,juma nature and the like
Kweli kabisa Mungu ambariki Diamond.

By the way oga unywe uji ndiyo usubiri hili tukio kubwa maana najua usiku hujalala ulikua unasubiri pakuche.
 
Katafute kazi ya kufanya.
 
Jamaa kiukwel Ni very fighter na anajua kujiongeza anajua kutumia vizuri umaarufu wake ataki kufanya makosa Kama Kaka zake waliofanya wakina Mr nice,juma nature and the like

Ana mchango mkubwa kuipromote sanaa ya mziki na nchi yetu kwa ujumla kimataifa, CSR yake iko juu sanaa (he gives back to the community),
 
kumtambulisha mtangazaji

Kumtambulisha mtangazaji au kuzindua Wasafi Tower is rubbish news!

Diamond anatakiwa kuwekeza kwenye weledi na usomi wa kuchambua na ku present habari-kipaumbele za taifa. Babu Tale and Maulidi Kitenge types are woefully not up to the job.
 
Brand nikitu muhimu Sana diamond inaweza ikawa ni kitu kidogo lakini akakifanya kwa uzito mkubwa hii inasaidia kuipa thamani media na hii anafanya kwenye mziki wake na faida yake unaona anapata madili makubwa.Ila kuhusu Hilo la pili nakuunga mkono kwa asilimia 💯 atakiwa alifanyie kazi.
 
Huko kote unapita tu kukoment ila nyuzi unarundika hapa. Sasa msukule ukiweka uzi tusipojitokeza si utajinyonga jamani hivyo vumilia.tu uwepo wetu ulipo tupo kukupa sapoti wakutambue tambue kule wachafukoge klasik
 
Umri nimempita, pesa kanipita.
Kweli usilinganishe umri au rika ya marafiki zako na maendeleo yenu , utaumia.
Viva Diamond
 
Huko kote unapita tu kukoment ila nyuzi unarundika hapa. Sasa msukule ukiweka uzi tusipojitokeza si utajinyonga jamani hivyo vumilia.tu uwepo wetu ulipo tupo kukupa sapoti wakutambue tambue kule wachafukoge klasik
Nilipost Uzi unahusiana na professor Jay kuhusu kupiga show na kujaza uwanja Congo nilimpongeza nakumbuka nikapata comment moja tu na like moja tu humu humu jamvini Wala sijaona comment yako hii inaonesha ampendi nyuzi za wasanii wengine hapa ndo naona unafiki wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…