Kubali tu unapenda nyuzi za DiamondHuko kote unapita tu kukoment ila nyuzi unarundika hapa. Sasa msukule ukiweka uzi tusipojitokeza si utajinyonga jamani hivyo vumilia.tu uwepo wetu ulipo tupo kukupa sapoti wakutambue tambue kule wachafukoge klasik
Kauli yako ni kama ya shabiki wa mpira kwamba mshukuru sana golikipa bila yeye mngefungwa nyingi yaani kama vile vile golikipa sio sehemu ya timu.Hawana jipya..... yan bila diamond hawawez kufanya chochote
komesha korona
Hilo ndio jibu alipaswa kupigia mstari kuliko kuzunguka zunguka yaani huyu mama Ni mnafiki ile mbaya kila habari inayohusiana na mondi lazima aje ila zingine anakausha wiki 2 nyuma nilipost kuhusu mke wa kiba nikasema kwangu ndio mwanamke mzuri kuliko yoyote wa star huyu mama sijaona hata comment yake hata moja.
😂😂😂Mara paaap! Diva anatambulishwa usafini
"Not everything is for everybody"
Kwani hajafunga?Sawa mkuu, kunywa chai kabisa usubiri tukio kubwa maana wewe hukawii kushinda njaa kisa hilo tukio.
Hilo ndio jibu alipaswa kupigia mstari kuliko kuzunguka zunguka yaani huyu mama Ni mnafiki ile mbaya kila habari inayohusiana na mondi lazima aje ila zingine anakausha wiki 2 nyuma nilipost kuhusu mke wa kiba nikasema kwangu ndio mwanamke mzuri kuliko yoyote wa star huyu mama sijaona hata comment yake hata moja.
Nilipost Uzi unahusiana na professor Jay kuhusu kupiga show na kujaza uwanja Congo nilimpongeza nakumbuka nikapata comment moja tu na like moja tu humu humu jamvini Wala sijaona comment yako hii inaonesha ampendi nyuzi za wasanii wengine hapa ndo naona unafiki wako.
nakuoa unamkazia pacha wako 😁😁🤣🤣🤣nataman siku innocent na Numbisa wakutane face to faceHuko kote unapita tu kukoment ila nyuzi unarundika hapa. Sasa msukule ukiweka uzi tusipojitokeza si utajinyonga jamani hivyo vumilia.tu uwepo wetu ulipo tupo kukupa sapoti wakutambue tambue kule wachafukoge klasik
nakuoa unamkazia pacha wako 😁😁🤣🤣🤣nataman siku innocent na Numbisa wakutane face to face
Aiseee bora mie shabiki maandazi kwenye comments ila wewe kijana umevuka mipaka kila kukicha ni nyuzi za domo. Huu uraibu ni hatari