Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

Kwanza sijamuattack pili, ukisikia let say Telecom Engineer au Electronics and Communications Engineer sio kwamba anajua kila kitu,unaweza kuwa upo kwenye Coding,Database,transmission,Power,Instrumentation nk.Ila basics unakuwa nazo.
Frequency ya radio haifanyi radio kuwa kubwa bali ni promo cha kwanza,hata ukiwa na 107......... ila promo na the way utakavyo market radio yako ndio itaifanya kuwa kubwa.

Kwenye basic topic ya Wave form four
Velocity=Frequency xWavelength.Advantage ya Frequency kuwa ndogo maana redio itaenda umbali mrefu (I believe una basic ya hesabu hizi za directly na inversely proportional za form one),ila mwenye Frequency kubwa haiendi umbali mrefu sana japo utofauti wa umbali unakuwa sio mkubwa sana.Ndio sababu watu wanazitaka hizo za mwanzo ndogo. Ila kusema Frequency zimeisha na kataa,Frequency zipo halafu dunia hii ya sasa technology iko very sophisticated.
 
Mkuu umenisoma kwa umakini lakini? Hivi kweli naweza kusema mtu mmoja anamiliki frequencies zote za Dar?
Kabla ya kujadili ni vyema ukasoma habari kwa umakini, na huu sio umbea.
 
Jamaaa bishi kama ushuzi ukitaka frequency kwa sasa ni mkoa wa pwani ndo unapata ila dar zimejaaa mm kuna jamaa yangu alifuatilia kachemka kachukua mkoa wa pwani harafu kituo atajenga mpakani mwa dar na pwani.
Watu wabishi sana, hata mimi nina jamaa zangu walichemka hivyohivyo.
Tatizo watu wanadhani tunaandika tu.
 
Kwamba ulitegemea hawatozungumza milele? Hizi akili za wapi?
Daah...! Ila hapo ndio nimekwama. Umesema Diamond hapokei simu za kusaga mara wako wote tena mahala?. Sasa simu za nini kama wanaonana?.

Kuna upande umeongea kiushabiki mno. Kwa kumponda Diamond.

Kwa namna hiyo unatuamisha kuna mengi ya uongo kwenye uongo kwenye hii habari ili tuamini Mond anazingua.

Kuna Jambo moja vijana wa kitanzania wana wivu sana na kijana mwenzao akifanikiwa. Nimeona vijana wengi bongo wanamchukia Mond bila sbb za msingi. Utasikia anaringa. Kisa tu amefanikiwa.

Kwa akili ya Mond + management yake sidhani kama anaweza kuzinguana na TRA kiasi cha kuwakimbia. Ni mara nyingi nimesikia amezinguana na TRA,bado ni kile kile ni wivu tu wanamsakama hata kupita ile taratibu za kawaida.

Nianavyo kwa huyu dogo Diamond watapoteza tu muda kumshusha. Vinginevyo waungane nae. Yule dogo akili kubwa. Yule dogo yuko mbali sana.
Tuwaunge mkono vijana wenzetu waliofanikiwa. Ama tuungane nao.
 
Hakuna redio kubwa yenye 107MHz, hizo ni redio za wapiga vinanda na madufu asubuhi mpaka jioni.
Wewe sio mtaalamu nimegundua, unaleta habari nilizosoma Form 4 topic ya Wave, mengine nikafundishwa na Mgote pale Mchikichini na kitini chake kikubwa kama ugomvi cha topic ya Wave tu.

Hapo nilipobold ndio sababu watu walinunua frequencies wakahodhi. Na umejibu kwanini redio giants hazina frequencies za kupokelea sadaka bali zina zile ndogo zinazoenda mbali.
Ila kusema Frequency zimeisha na kataa,Frequency zipo halafu dunia hii ya sasa technology iko very sophisticated.
Technology kuwa sophisticated umelisema mara ya nne sasa, unamaanisha nini mkuu.

Sophistication ya tech inafanya wavelength ziongezeke au nini. Kwamba badala ya kutumia range ya 88.0 hadi 108 basi tutumie 50.0 hadi 200.0? Kitu gani kulikuwepo zamani kwenye frequency na sasa kinafanya ushindani wa mawimbi upungue au uondoke.
 
Mkuu kama nilivyosema hii sio field yangu, kwa kitu ninachokijua huwa natoa maelezo yaliyoshiba hata kilaza akisoma anaelewa.
Hapa nimejibu kwa general knowledge tu, wataalamu wenyewe ndio hawa hapa hamna kitu wanaelezea
 
107.3 UFM hii ni ya Bakhresa, vp Hana pesa za kununua 88.
 
Kwa hiyo waliso soma Physics wote wamesoma kwa Mgote?

Kwani ukisoma Physics Mchikichini na ukisoma Feza kwani Faraday law,Lenz law ya Mchikichi na Feza zinatofautiana.

Sio mtalaamu sasa nimekuwekea na Formula bado unakataa,sasa unataka niseme nini,tena hivyo ni basics knowledge.

Mawimbi yana shindana vipi wakati kila radio ina transmit kwenye path yake?

Halafu uzuri humu JF hatujuani so endelea kupayuka.
 
Asante Mkuu, mi siongezi neno.
 
Wa bongo kwa kupenda Mambo ya watu, kwanza kusaga sio mmiliki mwenza wa WCB,share holder mwenza ni mke wa kusaga, kama individual, hisa sio za ndoa!
Mind, ni CEO, Mambo ya Kodi, wapo CFO, na MD wanaweza kusimamia hayo Mambo,
 
Mkuu, habari za ushabiki sina siku hizi, hayo mambo nilishaacha.
Mimi naandika habari, mapokeo yako sio juu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…