Mimi mwenye ni mtaalam hata hapo TCRA nina wataalam ambao nimepiga nao wengine O-Level,A-Level na Chuo. So hizi issue za Stochastic Signals, Diterministic signal,Electromagnetism, sijui Mieletronics, modulation and demodulation,Radio and TV Broadcasting, Transimission nishaachana navyo sababu nipo kwenye field nyingine japo nilivisoma chuo so ninacho kiongea na kijua.
Kwanza kitendo cha kuhold maanake serikali inakosa mapato kwa hiyo frequency yeyewe, pili kupitia hiyo frequency serikali inakosa kodi kupitia wafanyakazi wa hiyo redio sababu nao wanakuwa walipa kodi. Halafu dunia ya sasa technology ipo very sophisticated sio rigid kama mnavyo fikiri.