Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

Usikute ni kiba masikin anajipambania kimpango wake halaf wadau wanataka kupita na upepo wake.
Najiuliza tu. Kwan ni kusaga tu ndio wa kufanya biashara ya media bongo hii??
Kwahiyo unaweza kuta Ali anadhaminiwa na Diallo mkuu?
 
Dada yangu hilo eneo ni field yangu japo sasa nafanya kitu kingine, ila ninacho kizungumza na kijua theoretical mpaka mathematical.

Wewe kama unakubali kudanganywa ni ww, ila Frequency moja haziwezi kuisha wala kuwa mali ya mtu,anaye zimiplan,kuzicontrol,kuzimonitor,kuzimiliki na kuengineer ni TCRA.
Bora wasomi mlikuwepo aisee, hawa kina jumalokole wanatudanganya sana.
 
Ficha upumbavu wako. FM frequency kila mji unapangiwa masafa (frequency moja tu) na FM ina Total 100 Stations kwa kila mkoa:
The FM radio band is from 88 to 108 MHz between VHF television Channels 6 and 7. The FM stations are assigned center frequencies at 200 kHz separation starting at 88.1 MHz, for a maximum of 100 stations.
Dar es salaam Wajanja wameziomba na awajaanzisha Redio ila wanazilipia kila Mwaka..... hii pia ipo katika Telecom... wapo Matajiri walikuwa wanamiliki Frquency za kuanzisha makampuni ya simu kwa miaka mingi hapa Tanzania mpaka pale TCRA walipobadilisha mfumo wa umiriki wa hizo Frquencies . Ila kwa Radio na TV bado wapo watu wanazo na awajafungua stations. Ukizitaka unalipa hela ndefu ndo upewe. Kama unaweza omba TCRA ukapata FM frequency Dar ni PM tuyajenge nnahitaji moja
Noma sana!
 
Hapo kwenye Frequencies Umeniacha,
Nijuavyo zinakua generated anytime mtu aliyekizi vigezo akihitaji...

Frequencies sio kifaa, ni mawimbi tuu, ambayo yatahitaji kifaa kama alternator kugenerate, transmitter kusafirisha kwenda kwenye receiver(antena)..., hio transmission hapo haitofautiani na simu inavyofanya kazi

Hivyo ni Sawa na kusema, Huwezi kuongea na Simu maana mawimbi yako kuna mtu anayamiliki, inakuja hio?
Tatizo vijana wengi mko watupu sana kwa yanayoendelea nje ya majengo ya shule. Yaani mko mtaani kimwili ila kiakili mko chuo.
 
Wanasema wasafi media content
Zao zinazungumzia familia yao tu
Leo mondi kafanya nn na zuchu au zari
Kesho mama dangote naye stori yake inaletwa keshokutwa Esma sjui ๐Ÿ˜„

Ova
Uzuri hawakaukiwi na drama, hivyo zinawabeba.
 
Back
Top Bottom